Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
Naomba niwe kamati ya upambaji hasa mekaupNakuahidi huu mwaka harusi tunayo, wee andaa tyuu sare na michango yaan.[emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba niwe kamati ya upambaji hasa mekaupNakuahidi huu mwaka harusi tunayo, wee andaa tyuu sare na michango yaan.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kamata hii shem lake.Ameen kwa nasaha zako ,ahsante sana!
Tuombeane
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila baba j una mambo uwiiii.Uzi uko POA,
watu hawana makasiriko uku.
Yaan watu wa humu utadhan Watoto wa baba mmoja[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaaaZimekuwa nyeupe peee 🤣
Mie pale nili enjoy kubembea, maji nayoyaweza ni ya kwenye beseni tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakubali mwamba piga kazi leo Haww mabinti humu wametamka wazi wapo katika kutaka kutuchuna tu [emoji28]
Hyatt regency wacha wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2162841
Waswahili wanasema mtembea bure si sawa na Mkaa bure [emoji2957]
Weee vibaya wapi kila siku nnaviona na kucha zilizonakshiwa kwa rangi matata sanaMimi vyangu vyote vibaya.
Depal huyu alitupiga kamba akatuambia ana kucha mbaya kwenye kidole gumba
Mbona mzuri sana[emoji3059][emoji7]Mkono wangu..huo hapo!! View attachment 2163372
Alright mate sijakuona[emoji16]Hujaniona bhana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wabongo wameanza kuichokonoa ndoa ya agemate wangu [emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 2162850
Sasa hivi siliwezi na wameshaacha kuyatengeneza nadhani. Wamepata chalenji kubwa kwa RR mpaka wamebwaga manyanga; na walichelewa kidogo kuyafanya yawe ya kisasa zaidi. End of an era!Sasa hivi mkuu hautaki Tena za matoleo mapya? Ni ngumu kweli miaka 15 umekaa nalo tafuta Tena faza chuma hizi
Una vituko 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Af eti me uvunguni naogopaga kuchungulia esp usiku hua nahisi nitaona mtu sjui😂😂
Jaman si uweke kwa kabati uufungie au kutakua na joto
[emoji1787][emoji16][emoji1787][emoji16]Weee vibaya wapi kila siku nnaviona na kucha zilizonakshiwa kwa rangi matata sana
Hapo umenena sasaAlright mate sijakuona[emoji16]
Safi sana Bosi Ledi. Leo bila shaka tukae mkao wa kula ama?Shukrani sana msukuma leo niko gudo kabisa!!
AririririririiiiiiiiNakuahidi huu mwaka harusi tunayo, wee andaa tyuu sare na michango yaan.[emoji23][emoji23][emoji23]
Only in swimming poolsHadi wewe haujui kuogelea?[emoji15]
Nilishasema mimi. Uzi huu bila Boss Lady ni bure kabisa! Ona sasa! [emoji91][emoji91][emoji91]Mkono wangu..huo hapo!! View attachment 2163372
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani uongo? Si wadada wa supp wananiambiaga lakinKhaaa we mtoto una mambo sana