Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umefanya vizuri Depal unajua Uzee huu hadi nasahau tarehe ya kwenda kuchukua mafao 😀

Kwenye hizo hela za mwezi huu ukate kabisa na hela yako ya Brazilian hair, manake tangu mwezi uliopita ulikuwa unadai tu, usisahau na kwenda kulipa advance ya Ile plot yako ya Madale 🤪🤪
Nakuelewa mzee, nazijua shida zako ndiyo maana nimekuja kukusaidia 🤓


😅😅😅 ila G
Order received with thanks 😊
 
Screenshot_20220324-140641.jpg

Waswahili wanasema mtembea bure si sawa na Mkaa bure 🤪
 
Back
Top Bottom