Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Somo kalipata ndio tena kwa kiwango cha A+ but jua hayo matokeo sio yake tu,, ni ya familia nzima,,, maybe kama hamna watoto that's fine,, it's better ukaomba talaka kuliko kutangaza vita
Kushare matokeo hakuwapi haki ya kufanya mabaya
Na hatuwezi entertain watu kufanya mabaya eti kwa kuogopa tu kwamba tutashare matokeo.

Somo litasomwa regardless of who is going to bear the burden.

Vita ameitangaza mwenyewe..
Na mimi siwezi hangaika na chochote..
Ulimwengu huko utahangaika naye.
 
Haha kisa ?
Next time ukiniona usisite kunisalimia
Just say hi naitwa Greg ... Nimeona upo jf hapo and then smile .
Tinsley,, pulling together hzo salamu it will take me, i don't know,, maybe forever,ukitegemea mimi nianze maongezi, tunaweza tukakaa seat moja from tz to southafrica kwenye bus,, na tusiongee hadi tunafika,, ukiachana na zile fungua dirisha au naomba kupita,,
Nna phobia ya kuongea na jinsia yenu public
 
Kushare matokeo hakuwapi haki ya kufanya mabaya
Na hatuwezi entertain watu kufanya mabaya eti kwa kuogopa tu kwamba tutashare matokeo.

Somo litasomwa regardless of who is going to bear the burden.

Vita ameitangaza mwenyewe..
Na mimi siwezi hangaika na chochote..
Ulimwengu huko utahangaika naye.
It's not that simple,, if ingekuwa inaenda according to ulivyoelezea hapo cdhan kuna mwanaume angekuwa anacheat
 
Kucheat kuna matokeo yake mabaya.
Wewe kuto kukumbana nayo haimaanishi kwamba hayapo.

Na wengi hujidanganya kwa kujipa moyo kwamba hawezi kukumbana na hatari,,matokeo yake huishia kukumbana na hatari mbalimbali hata anapojaribu kuweka mambo sawa inakuwa too late.
Na huishia kupata hasara sana kwake mwenyewe na kwa familia yake.
 
Dear Ann sijakataa,, cheating inq terrible consequences,,, but wangapi wanakutana nazo,,, je ni mara ngapi aliye cheat alifunzwa na ulimwengu?? Ni mara ngapi walipotangaza vita na partners wao walishinda,, ni kawaida 1+1=2 lakini muda mwingine unapoweka hali isiyo na ukawaida 1+1 sio sawa na 2
 
Kwahiyo wewe point Yako no ipi?
Yaani conclusion yako kwa maana ya maoni yako na mtazamo wako.
 
Tinsley,, pulling together hzo salamu it will take me, i don't know,, maybe forever,ukitegemea mimi nianze maongezi, tunaweza tukakaa seat moja from tz to southafrica kwenye bus,, na tusiongee hadi tunafika,, ukiachana na zile fungua dirisha au naomba kupita,,
Nna phobia ya kuongea na jinsia yenu public

Introvert wewe itakuwa ..
Well sema hi tu inatosha .
 
Kwahiyo wewe point Yako no ipi?
Yaani conclusion yako kwa maana ya maoni yako na mtazamo wako.
Akicheat kwa kiwango kisichokuwa na uvumilivu kwako,, the best option is walking away bila vurugu,, kaa chini mchane kuwa move alofanya its a bad one and for that unamuacha,,,na ondoka ukiwa huna tarajio la yeye kufunzwa na ulimwengu,, because isipokuwa hvo utaumia wewe sio yeye,,, walk away kwa style ambayo haitaleta any conflict between you,, then endelea na maisha yako
 
Kwanini uondoke??
Kumbe hadi cheating ina viwango??

Kufunzwa kupo pale pale tu bila kujali mimi nataka ama sitaki.
Dunia haiwezi acha kumfunza.
 
Back
Top Bottom