Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaaa

Hivi kule kubembea huwez kuangukia majini? Niliona watu wanabembea af wanajirusha kwenye maji

🤣🤣🤣 kuogelea kipaji, mwenye sina hyo jeuri
Ukitaka kuruka kwenye maji rukia, ila kama huwezi ile bembea uwa inaenda na kurudi.

Mkubwa hivo hujui kuogelea 🤣🤣 kuna kampani moja huko Matvilla beach ilinifanyaga nikapata ma confidence ya kuogelea ziwani ‘ ila yale maji ya ugoko.

Mwanza pia nilijitahidi kidogo kuogelea 7bu ya bei ya room 🤣🤣😅 unaachaje hela ipepeee
 
Me naogelea kwenye swimming pool tu maana nna uhakika hata nikizama sitapotelea huko chini wala hamna mawimbi ya kunisomba😂😂

Ila kwenye bahari/mto wee hapana tena saivi ndio kabisa uvivu/uoga ++

Hahahaa uliona usipoogelea hela inaenda bure ila hua inauma sana kushindwa kutumia kitu ambacho kipo kwenye package uliyolipia😂😂
 
Back
Top Bottom