Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Ohooo.. posho ya meza.. nimepata kitu hapa nitakuwa nafanyia kwenye meza ili posho ya meza iwe posho kweli 😎😎😎[emoji28]
Posho ya meza
Ohooo.. posho ya meza.. nimepata kitu hapa nitakuwa nafanyia kwenye meza ili posho ya meza iwe posho kweli 😎😎😎[emoji28]
Posho ya meza
Hapo umenena, kweli kidole kimoja hakivunji chawa.🤣🤣🤣
Subiria na mie nizeeke, tutajazia na mafao yangu.
Nataka lile hug ambalo nikiegamia tu, nasahau shida za dunia na usingz huu apaUnaka aina gani ya hug sema vyote unavyo hitaji.. tufanye ku assemble upate kitu roho inapenda
😀😀😀na wa mpambe 9.8ms squared mmoja itapendezaKabisa Kaka nifyatue vingine viwili nifunge ukurasa reymage
[emoji28][emoji28]muhimu Sana[emoji3][emoji3][emoji3]na wa mpambe 9.8ms squared mmoja itapendeza
Haya.. taadhari.. hutokaa utamani tena mwanadamu mwenzako... nishatoa order mahala wanaanza kulifanyia kazi request lako wana li program.. utafaidiiiNataka lile hug ambalo nikiegamia tu, nasahau shida za dunia na usingz huu apa
Ewaah Uncle , itakuwa vyema ..Ohooo.. posho ya meza.. nimepata kitu hapa nitakuwa nafanyia kwenye meza ili posho ya meza iwe posho kweli [emoji41][emoji41][emoji41]
kitakuwa kitamu kunoga eeh 😎😎Ewaah Uncle , itakuwa vyema ..
Hakika Aunt atafurahia hilo pia .
Hata mfalme daudi kipindi hawezi, alipatiwa chombo cha kumpa joto..Wabongo wameanza kuichokonoa ndoa ya agemate wangu [emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 2162850
Hicho kitakuwa heavy Uncle .kitakuwa kitamu kunoga eeh [emoji41][emoji41]
nafikiri cha juu mti kama chui ndio kinanogaaa 😀😀Hicho kitakuwa heavy Uncle .
Nimetoka kapa Uncle [emoji28]nafikiri cha juu mti kama chui ndio kinanogaaa [emoji3][emoji3]
Sawa uncle.. kaoge ulale.. mambo mazito haya 😀😀Nimetoka kapa Uncle [emoji28]
@Tinsley nimekuona leoNimetoka kapa Uncle [emoji28]
[emoji1787][emoji1787] UncleSawa uncle.. kaoge ulale.. mambo mazito haya [emoji3][emoji3]
Na kwelu uncle niache.. maana naweza nikakuharibu tabia 😀😀😀[emoji1787][emoji1787] Uncle
Nikuache na mambo yako