Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,196
- 183,025
Awapi... wa hovyo hovyo sanaaaaa!!
Nina hakika mkono wa boss ledi utakuwa hatari na robo
Nina hakika mkono wa boss ledi utakuwa hatari na robo
Zimekuwa nyeupe peee 🤣Usafishe dhambi🤣🤣🤣
Na maziwa yalivyo meupe hapo dhambi zote hapo zinasafishika fastaa😂
Eeh hapo hapo chemka😂
Hahahahaa ngoja nikajaribu kuzichemsha labda zitachemka zievaporate😂😂
Weka hapa tuoneAwapi... wa hovyo hovyo sanaaaaa!!
Labda atalala club leo
Ndo maana unajua matatizo yetu vyema[emoji23]Mimi mwenyewe jobless mzoefu mdogo wangu
🤣🤣🤣🤣Vioja tu 🤣
Ila inatakiwa sehemu cool.
Sasa si uvunguni? Au uvungu wako ukichungulia huoni mwisho 😅😅😅
Weka hapa tuone
Mie najali sasa shem,, yaan kama imepita imepita hyo,,,[emoji16][emoji16] msalimie sana,,, mwambie aje PM [emoji12][emoji12]Sio hivo shem uwe unachangamka ili mtu asijute kukaa siti moja nawewe buana[emoji12][emoji12]!!
Dogo anakusalimia sana
Hadi wewe haujui kuogelea?[emoji15]Zimekuwa nyeupe peee [emoji1787]
Mie pale nili enjoy kubembea, maji nayoyaweza ni ya kwenye beseni tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee acha tyuuh.[emoji28][emoji28][emoji28] niko hapa kuna mama anawaka balaaa
Ila HESLB na watu wa Hazina sijui wana tumikosi gani
Heee eti hataki[emoji16]Ooh okay , nimeelewa ..
Mimi ni muongeaji hivyo ungeanza tu ningekuchangamkia
Ila hujaniona bhana [emoji28]
Aaaaah hapo sawa dea.Pale kuna jf app na short cut ya jf through browser
MweeNina mkono mbaya kama nini sijui!
Hujaniona bhanaHeee eti hataki[emoji16]
Bibi wa kichaga yule alikua anatengeneza mtindi mzuri sanaExactly
Vanilla inanukia vizuri kushinda strawberry.
Umeipenda hiyo kucha msambao 😎😍
[emoji16][emoji16][emoji16] Nikiwa mkubwa ntakuwa kama dada annaNi utoto tu huo
Ukikua utaacha
Nakuahidi huu mwaka harusi tunayo, wee andaa tyuu sare na michango yaan.[emoji23][emoji23][emoji23]Pambana na wewe tule ubwabwa wewe wapende wauza sura hao kuoa kwao ni mtihani
Mimi vyangu vyote vibaya.Haya Hebu tuone kidole gumba chako nawewe sasa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16] Nikiwa mkubwa ntakuwa kama dada anna