Pole boss wangu ndiyo changamoto ya makao makuu hiyoChief nilitenga hadi 50k Lodge zimejaa, wageni wengi
kwa hiyo leo unalala umesimama mkuu?
Pole boss wangu ndiyo changamoto ya makao makuu hiyoChief nilitenga hadi 50k Lodge zimejaa, wageni wengi
Yaan wewe, uvunguni ndio kunaleta mtindi mzuri?😂View attachment 2163314
I’m done Lenie
Nashusha nyuzi joto niweke kontena chini ya uvungu nilale 🤣🤣🤣🤣
Najitolea kukusindikiza niwe chawa wako mkuu panaitwa chemkaYeah nilisema ila natengua kauli baada ya kusoma mahali kuwa mbinguni tutapewa miili mipya😂
Hiyo hiyo mradi ikiwekwa sukari inabamba😋
Kuna sehemu ipo Moshi niliona kwa tv panaitwa Maji moto (sijui pana jina lingine) watu wanaogelea nikapapenda mazingira yake so ndio nataka nikija niende hapo nikapunguze stress
Nakusalimia Boss Lady. Leo unajisikiaje? Bado umechoka choka kama jana?Ulimisika mnoooo!!
Sante sana ! sasa bado lile shepu letu mattatta sana
Kuna mtu ofisin alikua anatuuzia mtindi umewekwa vanilla flavor ulikua unanukia vizuriii😋
Wee ule ushauri niliulaminate ujue? Mimi sitengui…Yeah nilisema ila natengua kauli baada ya kusoma mahali kuwa mbinguni tutapewa miili mipya😂
Hiyo hiyo mradi ikiwekwa sukari inabamba😋
Kuna sehemu ipo Moshi niliona kwa tv panaitwa Maji moto (sijui pana jina lingine) watu wanaogelea nikapapenda mazingira yake so ndio nataka nikija niende hapo nikapunguze stress
Oohh!!!thank you Darling!!! Naiskirini shot naitunzaAmen sis ,tupo pamoja
Here's a quote from Michelle Obama on raising a girl "Tell her every day she is smart and capable and lift her up...Don’t underestimate the power of day-to-day motivation and inspiration in a girl’s life."
Vioja tu 🤣Yaan wewe, uvunguni ndio kunaleta mtindi mzuri?😂
Sijaielewa hii picha
Mimi mwenyewe jobless mzoefu mdogo wanguHaukipendi kwani muhisani wetu?
Usitufanyie hivyo 😂
Ooh thank you dearOohh!!!thank you Darling!!! Naiskirini shot naitunza






Usafishe dhambi🤣🤣🤣Wee ule ushauri niliulaminate ujue? Mimi sitengui…
Sukari nimeweka afu kuna namna imekuwa nyingi kdg, maana nimedokoa kdg fresh nakunywa nisafishe dhambi.
Pale chemka shost 😁 unataka ukazichemshe stress 🤣
ExactlyKuna mtu ofisin alikua anatuuzia mtindi umewekwa vanilla flavor ulikua unanukia vizuriii😋
Niliupenda sana.
Ila nimependa kucha + vidole😍
Shukrani sana msukuma leo niko gudo kabisa!!Nakusalimia Boss Lady. Leo unajisikiaje? Bado umechoka choka kama jana?
Kumbe Jana umetupiga kamba za wazi kabisa na hiki ndicho kidole gumba uchosema kina kucha mbaya![]()
😂😂Najitolea kukusindikiza niwe chawa wako mkuu panaitwa chemka
Huko kulala amesimama vipi tena Eng!!!!!!!🚶🏽♀️😜Pole boss wangu ndiyo changamoto ya makao makuu hiyo
kwa hiyo leo unalala umesimama mkuu?
Sasa hivi mkuu hautaki Tena za matoleo mapya? Ni ngumu kweli miaka 15 umekaa nalo tafuta Tena faza chuma hiziNiliwahi kuwa nayo mpya kabisa zile za mwanzo mwanzo. Nilikaa nayo kwa miaka karibia 15 kitu imekula 300K+ miles na bado tu inadai. Mpaka nilichokana nayo tu nikawauzia jamaa wa mashambani huko wakaikata ikawa pick up ya kubebea mazao. Na bado ikaendelea kupiga mzigo tu. Ni moja kati ya ndinga ninazoziheshimu sana![]()
Labda atalala club leoHuko kulala amesimama vipi Eng!!!!!!!🚶🏽♀️