Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

On behalf of hao mabinti.. don’t quote us wrong [emoji58]
Tunawapenda jamani [emoji175]

Sasa umenikimbiza kilometer 30 navuja jasho kila kona why usinipe hela ya sabuni na maji ya kunywa?!
Hapa Sasa ndio umenyoosha maelezo maana nilishasikitika Sana hela ya maji baridi kujipooza hio haina shida
 
Wabongo wameanza kuichokonoa ndoa ya agemate wangu [emoji51][emoji51][emoji51]
IMG-20220324-WA0068.jpg
 
Nakubali mwamba piga kazi leo Haww mabinti humu wametamka wazi wapo katika kutaka kutuchuna tu [emoji28]
😀😀😀😀 hao wana maisha mafupi sanaaa... fatilia kwa ukaribu wanawake wa vizinga hawanaga maisha marefu.. maana hubeba laana za wachunwa na malalamiko.. mtu kaitoa hela kwenye mazingira magumu alafu mwanamke anaila kizembe zembe lazima laana imuhusu.. sasa unakuta ana laana za kila mwamba kwanini asifie mapema
 
😹😹😹 aloooo
 
Back
Top Bottom