Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sisi tulikua tunaenda mpaka watu wote wanaisha saa kumi na mbili asubuhi ndo tunatoka tunarudi hostel kulala kidogo tunarudi chuo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Unajua yale maisha ya umetoka shule umeenda hostel na hela ya bodi ipo uhuru kama woteeee.
Niliwahi kwenda club mara moja tena uzeeni, na niliishia kusinzia tu[emoji134][emoji134]
 
Wala sina hangover nakua nachoka tu kuona dunia.
Kuna siku naamka na kisirani sitakagi kuona mtu kabisa. Najifungia ndani mpaka wananisahau
Hizo siku tatu unakuwa una hangover?

Kwenda club nadhani inaendana na umri. Mara ya kwanza na mwisho mimi kucheza disco tena disco vumbi ni graduation ya form 4 waliweka mziki na mimi nikajirusha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kreti la bia? Unamaliza? Shikamoooooooo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hufai wewe
Tulipangaga ka party ka kufunga mwaka ka staff, sasa mimi ndio nilikuwa organizer imagine[emoji134]

Basi nikapanga vinywaji viwiliviwili, wanywa pombe walinimind acha kabisa. Wakaniambia mie mywa maji ningewaambia waniletee maji yangu na dumu la lita5 ila wao niwapangia vinywaji vya kutosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nikapigwa marufuku kuorganize tena party yoyote.
 
Yaani mimi kabla hata kuku hawajalala mie shajifungia ndani[emoji134][emoji134][emoji134]
Halafu hata sitamani. Kuna kaka yangu ananiitaga "utumbo" eti najifungia sana ndani.

Mdogo wangu usiniambie nawe umerithi?
Utumbo... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... Atoto aka UTUMBO[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]... Utumbo wa... [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom