Hukosi kuwa mchawi Shem utumbo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]Tujifungie tu ndani maana hamna namna.
Mie sasa hata sherehe naonaga kero, nikienda lazima niwahi kurudi nyumbani[emoji134][emoji134]
Yeah....Hawana hasara kabisa
AiseeeViazi vitamu na dagaa roast [emoji39][emoji39][emoji39]pishi langu
Half [emoji287] time [emoji755]️ [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1232907
Yaaani[emoji39][emoji39]Tena ya baridi.
Ukicheua hadi raha kaharufu ka machungwa.
Juzi walikuwa wanashindanisha wababu kubugia ice cream za ukwaju[emoji23][emoji23][emoji23].... Unasaidia kutoa mning'inioEti nasikia wanaume wa dar mnanyonya ukwaju[emoji23][emoji23]
Sasa mbona mimi sijaona vizuri jamani?? Kuna giza!!Half [emoji287] time [emoji755]️ [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1232907
Carton 11.5k[emoji39][emoji39]Yaani ile kitu ya kunywa naipenda saaana.
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wee mzee sikuwezi.Half [emoji287] time [emoji755]️ [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1232907