Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sio ushamba mpenzi. Kila mtu ana kitu anakipenda. Mimi sasa hivi hunibebi kunipeleka club ila nilikuaga kama nimechanjiwa nilivyokua chuo. Sasa hivi kitu naweza kukifanya ni kunywa tu. Hata nikalie crate ya bia kama kuna kamziki na story nakaa.
Sema sasa nikisema nijifungie ndani naweza kaa hata siku 3 sifungui mlango.
Niliwahi kwenda club mara moja tena uzeeni, na niliishia kusinzia tu[emoji134][emoji134]
 
Hahahahhahahahhahahhahahahahhahahaha.
Ndio nini kwenda kuaibisha huko?

Lazima ulikuwa unakunywa soda na wenzako pombe. Mtu akinywa pombe haoni kama muda unaenda yaani. Utasema bora kamaliza unashangaa tuu zingine tatu zimeshuka mezani kwa mkupuo.
Unaweza ukalia yaani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaanii acha kabisaa...
Unajua mnaondoka zinashuka nnenne...

Mimi na mirinda nyeusi, nilikomaaaa mimii
 
Sio ushamba mpenzi. Kila mtu ana kitu anakipenda. Mimi sasa hivi hunibebi kunipeleka club ila nilikuaga kama nimechanjiwa nilivyokua chuo. Sasa hivi kitu naweza kukifanya ni kunywa tu. Hata nikalie crate ya bia kama kuna kamziki na story nakaa.
Sema sasa nikisema nijifungie ndani naweza kaa hata siku 3 sifungui mlango.
Hizo siku tatu unakuwa una hangover?

Kwenda club nadhani inaendana na umri. Mara ya kwanza na mwisho mimi kucheza disco tena disco vumbi ni graduation ya form 4 waliweka mziki na mimi nikajirusha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kreti la bia? Unamaliza? Shikamoooooooo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bora wewe huwa unakwenda, mie naagiza bodaboda[emoji85]

Kuna mama huwa ananiambia akitaka kuja kwangu walaa hajihangaishi kupiga simu maana anajua tu atanikuta.
Ndio basi tena mdogo wangu tubakie tu kuwa watazamaji[emoji134]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duuh hadi kwenda ni tabu unaagiza boda boda[emoji23].
Kwa kweli tubakie tuu hivi hivi maana ni vipaji hivo nadhani.
 
Kwema ?
Screenshot_2019-09-27-18-41-57-97.jpeg
 
Hizo siku tatu unakuwa una hangover?

Kwenda club nadhani inaendana na umri. Mara ya kwanza na mwisho mimi kucheza disco tena disco vumbi ni graduation ya form 4 waliweka mziki na mimi nikajirusha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kreti la bia? Unamaliza? Shikamoooooooo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi ndo hata sijawahi jamani
 
Back
Top Bottom