Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ngoja nimcheck anko wangu kwanza
Hahahah umenikumbusha jana anko wake mzigua anaaga anasema niwarudishe na nyinyi tukamwambia nenda tu sisi ndio kumekucha hivi
 
Tulipangaga ka party ka kufunga mwaka ka staff, sasa mimi ndio nilikuwa organizer imagine[emoji134]

Basi nikapanga vinywaji viwiliviwili, wanywa pombe walinimind acha kabisa. Wakaniambia mie mywa maji ningewaambia waniletee maji yangu na dumu la lita5 ila wao niwapangia vinywaji vya kutosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nikapigwa marufuku kuorganize tena party yoyote.
Hahahah. Mnachanga sawa wewe unakunywa soda mbili (1000) hao wanakunywa bia 4 (15000+).
Ulifanya vizuri sana.
 
Back
Top Bottom