Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Sawa bamkwenaya amini sana tu mama mkwe ila kuanzia leo siamini tena
Sawa bamkwenaya amini sana tu mama mkwe ila kuanzia leo siamini tena
We dada una kichaaa eti ungelala apa ningeamka kupika nipo kitandani mimi badoIle supu ipo niijie?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]'Henikeni'
Wa?Shuhuda[emoji30]
Wacha bwana!![emoji7][emoji7]Mpiga picha wangu uliyempiga mdogo wangu jana popote ulipo nakusalimia [emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1232715
Mafisi maji udenda unatutoka..gadeeeem!!!Mpiga picha wangu uliyempiga mdogo wangu jana popote ulipo nakusalimia [emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1232715
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Wacha bwana!![emoji7][emoji7]
Hata wewe handsome udenda unakutokaMafisi maji udenda unatutoka..gadeeeem!!!
Pampula unaumwa?
Afadhali.Hamna mwili tu uligoma jana
Kunywa maji ulale
Ulale tu
Afadhali.
We dada una kichaaa eti ungelala apa ningeamka kupika nipo kitandani mimi bado
Hahhaha nilikwambia jana tukalale umekataa mama pambana na njaa yakoNasikia njaa hapa na sijui nakula nini. Nimetamani ningelala huko [emoji21][emoji21]
Mpiga picha wangu uliyempiga mdogo wangu jana popote ulipo nakusalimia [emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1232715
Akiwa ananipa hela nyingi hamna tatizo Atoto au unasemaje?@cute b huyu mlevi utamuweza kweli[emoji134][emoji134][emoji134]
Eti Unasema.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaka shemeji habari za asubuhi?
Hahahah hivi sijui ameamkaje jamani huo mkono sijui sababu nimeegemeaHuo mkono utasema wangu.
Mpiga picha wako kumbuka sisi tumerudi kulala yeye kaunga 5N