Washa flash kwa camera halafu sogeza kwa karibuUmeme umekwisha vocha
Eewalaaaa!! Hayo ndio maneno sasa.Safi saaana. Just like naniliuu...
Inabdi leo tutoke kidogo. Tumuenzi vema baba wa hili taifa.
Noma saana....Carton 11.5k![]()
Nipe location.Ufiaidi na mimi basi![]()
Wewe yako iko wapi?Ila hii thread inaonyesha kiasi gani watu wanapiga ulabu na starehe, yaani ni ulabu tu hakuna starehe nyingine. Nilitegemea tungejitokeza kuonyesha 6x6 na warembo wetu ila hola.
Unajitoaje kwamfano? Huyu ni shemeji.
Yaani acha, halafu sasa wanywa bia ndio huwa walalamikaji wakati sie wanywa maji hata hatuna taabuHahahah. Mnachanga sawa wewe unakunywa soda mbili (1000) hao wanakunywa bia 4 (15000+).
Ulifanya vizuri sana.


Ukijiandikisha kupiga kura ulale huko huko.








Kafanta orange hata sio katamu kama mirinda nyeusi.Kafanta orange kanakufaa
Kwani ukiinunua wewe unababuka?Uzuri unajua napokwama... Nimetoa alternative..
Mirinda nyeusi kama frutoKafanta orange hata sio katamu kama mirinda nyeusi.


Kuna rafiki yangu ndio zilikuwa zake, anarudi alfajiri ila kutwa nzima atashinda amelala.Sisi tulikua tunaenda mpaka watu wote wanaisha saa kumi na mbili asubuhi ndo tunatoka tunarudi hostel kulala kidogo tunarudi chuo. Unajua yale maisha ya umetoka shule umeenda hostel na hela ya bodi ipo uhuru kama woteeee.
Nakuwa nimemkosea sana uchebe wetu.... Japokuwa nitakuwa nimewainua kinamna flaniKwani ukiinunua wewe unababuka?
Hebu tulia kwanza!