ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,489
- 126,769
Karibu sana, nitajitahidi nisikuangushe!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja nije nithibitishe.
Karibu sana, nitajitahidi nisikuangushe!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja nije nithibitishe.
Ukitoka na wanywa pombe ndio inakuwa hivyo. Kwanza wewe unakereka na wao unawakera.Mimi napenda nikiamua kuondoka tuondoke wote!!
Lakini haikuwi hivyo jamani
Mirinda nyeusi? [emoji23][emoji23][emoji23]nimechekaaaaa.Yaanii acha kabisaa...
Unajua mnaondoka zinashuka nnenne...
Mimi na mirinda nyeusi, nilikomaaaa mimii
Nikirudi porini kwangu auntie.Umepita ukienda wapii jamani
Green for natureRangi tu inahamasisha
Sasa mimi na wewe na Atoto itabidi outing zetu iwe ni kutembeleana nyumbani.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi ndo hata sijawahi jamani
Ndo maana natokaga mwenyewe mimi, nikishiba mirinda naleftUkitoka na wanywa pombe ndio inakuwa hivyo. Kwanza wewe unakereka na wao unawakera.
Tujifungie tu ndani maana hamna namna.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]duuh hadi kwenda ni tabu unaagiza boda boda[emoji23].
Kwa kweli tubakie tuu hivi hivi maana ni vipaji hivo nadhani.
Pole sana jamani auntieNikirudi porini kwangu auntie.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mirinda nyeusi? [emoji23][emoji23][emoji23]nimechekaaaaa.
Vile mbili tuu tumbo linajaa.
Imagine na zile kelele mie sina habari nauchapa tu[emoji134][emoji134][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na nani sasa?Tunaibiwaaaa
DaaahhhImagine na zile kelele mie sina habari nauchapa tu[emoji134][emoji134]
Wewe apo jamaniNa nani sasa?
Hapo nishakunywa maji yangu ya kilimanjaro kopo kubwa tumbo limejaa, sasa najionea kero tu[emoji134][emoji134]Kila saa unaangalia saa. Huku umenunaaa
Picha za kwenye harusi jmosi ziko wapi?Wewe uko nazo za kutosha aki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Karibu sana, nitajitahidi nisikuangushe!!
Hawana vyura mkuu..[emoji3]Wadada mbna hampost vyura tuone??[emoji15][emoji1436][emoji3603][emoji1436][emoji3603]