Mie hata soda naonaga kero kunywa, ni maji tu.Siku hizi hazina sukari.
Ila zinajaza tumbo balaa.
Kwa hiyo dada shemeji wewe tusker baridi huonji kabisa.Tulipangaga ka party ka kufunga mwaka ka staff, sasa mimi ndio nilikuwa organizer imagine
Basi nikapanga vinywaji viwiliviwili, wanywa pombe walinimind acha kabisa. Wakaniambia mie mywa maji ningewaambia waniletee maji yangu na dumu la lita5 ila wao niwapangia vinywaji vya kutosha
Nikapigwa marufuku kuorganize tena party yoyote.
Aisee kweli, ngoja nifaidi sasa hivi.Maisha mafupi we atoto, usinibanie sana. Soon utashangaa upo 50s halafu hujafaidi kitu duniani![]()
Marahabaaaa! Jezi yangu ya yanga iko wapi?Hahahahah watu wana damu nzito...
Shikamoo dada
Tatizo rangi

Mie ukinitoa outing ni maji yangu ya kilimanjaro na makange ya kuku na ndizi choma 2 au kaugali umemaliza kabisaaa.Kwa hiyo dada shemeji wewe tusker baridi huonji kabisa.
Sasa naelewa kwanini watu wanaomba outing na nyinyi.
Wapi nimesema Nina uhakika?Una uhakika ni chombo?
Rangi imefanya nini? Hebu usinibanie bwana!!!Tatizo rangi![]()
Tutamtafute 3rd part nimpe hiyo kazi.. Mambo mengine nitamalizana naye.
Sijaona mantiki yoyote apo
Safi saaana. Just like naniliuu...Mie ukinitoa outing ni maji yangu ya kilimanjaro na makange ya kuku na ndizi choma 2 au kaugali umemaliza kabisaaa.
Ila hii thread inaonyesha kiasi gani watu wanapiga ulabu na starehe, yaani ni ulabu tu hakuna starehe nyingine. Nilitegemea tungejitokeza kuonyesha 6x6 na warembo wetu ila hola.