Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,787
- 182,943
Asante auntie, hizi mvua zilinipa mawazooo, kusingepitika sijui ningesingizia nini[emoji134][emoji134]Pole sana jamani auntie
Asante auntie, hizi mvua zilinipa mawazooo, kusingepitika sijui ningesingizia nini[emoji134][emoji134]Pole sana jamani auntie
Ile soda ni tamu hadi imepitiliza. Mie lazima niidilute na maji ndio inapita.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndiwooo, mirinda nyeusi tuuu jamani!! Ni tamu ila humalizi mbili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji85][emoji85][emoji85]Daaahhh
Wewe Umenishinda tabiaaa
JamaniAsante auntie, hizi mvua zilinipa mawazooo, kusingepitika sijui ningesingizia nini[emoji134][emoji134]
Marafiki wa jf sasa, utasikia cute b tutoke wikiend nikutoe out ule unywe... Mimi nacheka tuu kihutu hi hi hi hi.Tujifungie tu ndani maana hamna namna.
Mie sasa hata sherehe naonaga kero, nikienda lazima niwahi kurudi nyumbani[emoji134][emoji134]
Auntie kwahiyo unanikana? We vitenge vyangu si unavijua?Wewe apo jamani
Mkwe[emoji134][emoji134][emoji134]Hawana vyura mkuu..[emoji3]
Mie napenda hivyo hivyoooIle soda ni tamu hadi imepitiliza. Mie lazima niidilute na maji ndio inapita.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Hapo nishakunywa maji yangu ya kilimanjaro kopo kubwa tumbo limejaa, sasa najionea kero tu[emoji134][emoji134]
Siku hizi hazina sukari.Ile soda ni tamu hadi imepitiliza. Mie lazima niidilute na maji ndio inapita.
HapanaAuntie kwahiyo unanikana? We vitenge vyangu si unavijua?
Nimezoom lips za dogo lako.Mpiga picha wangu uliyempiga mdogo wangu jana popote ulipo nakusalimia [emoji847][emoji847][emoji847] View attachment 1232715
Halafu mtu anaweza hisi unaringa kumbe masikini hayo mambo huyawezi tu[emoji134]Marafiki wa jf sasa, utasikia cute b tutoke wikiend nikutoe out ule unywe... Mimi nacheka tuu kihutu hi hi hi hi.
Nikiwaambia mimi kutoka usiku siwezagi wananinunia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mfano Hazard CFC.
Aiseee mwili haujengwi kwa tofali...View attachment 1232803wenye arosto ya mirinda nyeusi
Niko nazo mbiliPicha za kwenye harusi jmosi ziko wapi?
EwaaAiseee mwili haujengwi kwa tofali...
Maisha mafupi we atoto, usinibanie sana. Soon utashangaa upo 50s halafu hujafaidi kitu duniani [emoji39][emoji39][emoji39][emoji41][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi uchizi utaacha lini?
Hahahahah watu wana damu nzito...[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Kwamba hiyo ni pilipili?[emoji134][emoji134][emoji134]
Tulipangaga ka party ka kufunga mwaka ka staff, sasa mimi ndio nilikuwa organizer imagine[emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Haki wewe kiboko.
Wenzako wanaagiza bia wewe unaagiza maji[emoji23]