reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,427
- 29,304
Ila kumpata mnyaki,au mkurya mweupe na mhayaa ni kipengele haswaa...!!Kwetu tumegawanyika kuna weupe peeee na weusi. Hawa wenzetu weupe huwa wanakataliwa kama wanyaki, tena wa Tukuyu![]()



nilikua na marafiki zangu wawili weupeee hao mmoja mkurya mwingine mhaya tulikua tunasemaga wao sio wa hayo makabila wamevamia tu au illegal migrants!



