Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Nakusalimu katika jina la BWANA[emoji23][emoji23]
Mama Pastor vipi tenaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Mama Pastor vipi tenaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na kweli
Maana hujalalamika kuwekwa kati[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa sababu jana niliwekwa pekeyangu mara nyingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hqlafu dada yangu hana madhara kuwa mwanzo[emoji38]
Hahaha...Hapana bana! Mi nimekumbuka tu maparachichi na ndizi za kamachumu zile Nene tamu afu lainiiiiii na ebinyobwa bisagile !! Nilikua najilamba vidole aseeh sio kwa utamu ule!Mie ukikutana na mie live, pia utauliza kabila langu 😁😁😁😁 tena
Ahaa Ndiomana kumbee!!! Wakule Wengi mna shida ya "H" na "A" ..niliona hilo muda kidogo. .. hivi leo ushaselfika eehh??
😋😋😋😋😋😋😋.. na mie basiHahaha...Hapana bana! Mi nimekumbuka tu maparachichi na ndizi za kamachumu zile Nene tamu afu lainiiiiii na ebinyobwa bisagile !! Nilikua najilamba vidole aseeh sio kwa utamu ule!
Subiri atangulizwe mwingine uone ninavyosusa[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ebu tuwacheni basi.. 😁😁😁😁Na R na L. Nshomiles pamoja na wasukuma
Yeahh... kwenye R na L wakurya pia..Na R na L. Nshomiles pamoja na wasukuma
Subiri atangulizwe mwingine uone ninavyosusa[emoji1787]
Na mbona unafuga ndevu kama Yesu? Ile picha umetokea kama Yesu mweusi, ulivyojizungushia na shuka usoni[emoji23][emoji23]Ebu tuwacheni basi.. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Yeahh... kwenye R na L wakurya pia..
😁😁😁😁😁😁😁😁😁 watakatifu ndivyo tulivyo hata Yohana Mbatizaji alifuga midevu na minyweleeeNa mbona unafuga ndevu kama Yesu? Ile picha umetokea kama Yesu mweusi, ulivyojizungushia na shuka usoni[emoji23][emoji23]
Hahahaaa.. ila majority of them wanachanganya sana. Sema wasomi mara chache chache huchanganya. Ni asili nadhani.Nina rafiki zagu wawili hala wasukuma, R na L inategemea siku hiyo wameamkaje
Unajitetea kwa reference ausio!!😁😁😁😁😁😁😁😁😁 watakatifu ndivyo tulivyo hata Yohana Mbatizaji alifuga midevu na minyweleee
Hahahaaa.. ila majority of them wanachanganya sana. Sema wasomi mara chache chache huchanganya. Ni asili nadhani.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] watakatifu ndivyo tulivyo hata Yohana Mbatizaji alifuga midevu na minyweleee
😂😂😂😂... muhimu sanaaa hiii,Unajitetea kwa reference ausio!!
Au ndo wanasemaga effect of mother tongue! Hivi hata waliozaliwa mijini wana hio kitu yani watoto wa wakule waliozaliwa mikoani vipi nao wanachanganya hizo herufi??Hawa wa kwangu, wote ni lecturers. Imagine