Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wewe wanitosha
Huu wimbo
Mungu amenihurumia, tendo hili kubwa sana,
Sikustahili jambo hili, nimelipata bure tu!

Sasa najua hayo yote X2

Nasifu rehema zake X2

Nalistahili kupotea, lakini nahurumiwa,
Mungu amenipatanisha na yeye kwa Yesu Kristo,

Sababu hii namtumikia X2
nasifu huruma yake X2

Mungu mwenye huruma nyingi, usininyime huruma,
Naitafuta siku zote nikiulizwa na watu,

Hivi vyote vyatoka wapi? X2
Nasema ni huruma…
 
Jambo hili lenye huruma
Nitalisifu daima
Nalihubiri siku zote
Nikiulizwa na watu

Ndilo furaha yangu kubwa ×2
Nalingojea nikifa ×2
 
Back
Top Bottom