Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,561
- 23,991
Kwetu tumegawanyika kuna weupe peeee na weusi. Hawa wenzetu weupe huwa wanakataliwa kama wanyaki, tena wa Tukuyu![]()
yaani sijui wanaowanaje wa Tukuyu

Kwetu tumegawanyika kuna weupe peeee na weusi. Hawa wenzetu weupe huwa wanakataliwa kama wanyaki, tena wa Tukuyu![]()

😁😁😁😁 ukabila hujawai muacha mtu salamaaa.. tulia tukupe raha yake sasa 😂😂! Basi yaishe tuendelee kuselfika
![]()
hahahaha .wanyamwezi mama zangu.wako vzr sana
Unisamehe bure kwa kukuswalika rafiki haya ngoja niselfike kupotezea ukabila sawa eehh!!🤣🤣??😊😊😊😊.. Mie mwenyewe sijuagi kabila gani na huenda hata sio mtanzania 😂😂😂
dah kitambo sana huko.enzi za mwanaisungu.totoz za uhazili paleacha kabisa.. acha leo niende tabora mitaa ya bachu, chemu chemu.. 🙄🙄🙄🙄 nikawasalimie
Same here. Huwa naitwa sana mnyamwezi, na wengine huwa wanafikiri nina asili ya kaskazini (the way nilivyo according to their perception + meno yameoza)
Shikamoo popote ulipo
maana wapo vizuri sana😁😁😁.. Mwanaisungu pale sana enzi hizo.. watoto wa uhaziri sana.. kule kwa Biabasi kiyungi machimbo hayo.. sema uhaziri sasa hivi imenoga sanaaaa..dah kitambo sana huko.enzi za mwanaisungu.totoz za uhazili pale
hatari sana ,marehemu bi mkubwa mfn.mrefu ,mrembo.umbo ,uarabu kwa mbaliWapoje?
Mi mtu mzima nilijiongeza kiutu uzimatu rafiki!hahahaha,ulishtukia eeh? Kn maswali huwa si jibu km hayo
Utakuwa totoz ya maana a. k.a pisi kali 😊😊😊😊Jizazi. Hata sifananii wanyamwezi, sijui kwa nini wananifananisha
Happiest birthday to you .15|01|1990-15|01|2022=?
GOD has given me another year to live, laugh, and love and that is the best thing I could receive
HAPPY BIRTHDAY TO ME
hatari hao watu.Nkamu nimewawaza wanyamwezi walivyoShikamoo popote ulipo
maana wapo vizuri sana
hatari hao watu.
nakusalimia rafiki
Happy birthday mdogo angu, ukalindwe na kutunzwa. Deni langu sijasahau15|01|1990-15|01|2022=?
GOD has given me another year to live, laugh, and love and that is the best thing I could receive
HAPPY BIRTHDAY TO ME

15|01|1990-15|01|2022=?
GOD has given me another year to live, laugh, and love and that is the best thing I could receive
HAPPY BIRTHDAY TO ME
ndo maana nakukubali rafikiMi mtu mzima nilijiongeza kiutu uzimatu rafiki!
Nkamu nimewawaza wanyamwezi walivyoShikamoo popote ulipo
maana wapo vizuri sana
Happy birthday to you bababoy! May you live longer IJN!15|01|1990-15|01|2022=?
GOD has given me another year to live, laugh, and love and that is the best thing I could receive
HAPPY BIRTHDAY TO ME