Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Watu huwa ni wabishi sana, mie huwa nawataja surname tu , ukitaja kabila hawaamini .Maana hapo ataanza kusema mbona watu kabila hilo hawapo hivi ? anauliza tena umefanyiwa FGM ?
Hahaaa!sijui kwa nini wanahisi wote wamekeketwa ,ilinitokea Mi nilimpelekaga baba hospital siku moja ,Dk akaniuliza kabila nilivomtajia kabila langu alikataaa mpk akaenda muuliza baba!!!
Alishangaa sana yule Dokta!
 
Back
Top Bottom