Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ninavyojulikana hivi, angeshajitokeza wa kunisifia. Ukiona kimya, ujue kila kitu ni "personal". Kama yule mpendwa aliyesema wadada wa humu tuna features za ki-wife material. [emoji23][emoji23][emoji23]
aaaah mamaaa pastor 😊😊😊.. kinachofanya mtu kuwa nzuri ni favor ya kiungu iliyo juu yake
 
Ninavyojulikana hivi, angeshajitokeza wa kunisifia. Ukiona kimya, ujue kila kitu ni "personal". Kama yule mpendwa aliyesema wadada wa humu tuna features za ki-wife material. [emoji23][emoji23][emoji23]
Urembo tunawaachia ma celeb huko Atuwache kabisa! Kwanza nilipenda hakuna hata aliemsapot ujinga ule!
 
Back
Top Bottom