Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,200
Nakuona kwa raha zakooo
Nakuona kwa raha zakooo
NIPITAPO MAJARIBU
km nakuona vile.na zile catwalk zakoNipo njiani 🚶
Eeeh! Hapa nakula baridi ya AC ya hatari yani.. nadumbilukiza kichwa tu ndani dubwiii hadi saa tano hii ndio natoka 😂😂😂Nakuona kwa raha zakooo
rafiki nipo weka vitu
sawa sawa bd wengine
Kweli una rahaa!!!Eeeh! Hapa nakula baridi ya AC ya hatari yani.. nabumbiza kichwa tu ndani dubwiii hadi saa tano hii ndio natoka 😂😂😂
AmenHeaven Sent
Saint Anne
Tinsley
Katika Biblia.. yote.. mstari ( mistari), sura ambayo ni favorite kwangu ni hii ( huu).. kila nikisoma kuna kitu naona..
Alidharauliwa na kukataliwa na watu; Mtu wa huzuni nyingi, ajuaye sikitiko; Na kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao, Alidharauliwa wala hatukumhesabu kuwa kitu.
Hakika ameyachukua masikitiko yetu, Amejitwika huzuni zetu; Lakini tulimdhania ya kuwa amepigwa, Amepigwa na Mungu, na kuteswa.
Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, Alichubuliwa kwa maovu yetu; Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake, Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona.
Mkawe na weeekend njema..
🥰🥰🥰🥰🥰🥰Amen
Maisha ndio haya haya.. 😊😊😊Kweli una rahaa!!!
achana nao.wanajipa stress.we tupia tu rafikiKwanza nitajie wanaozoom selfika kimya kimya rafiki..
Wewe wanitoshaNIPITAPO MAJARIBU
[1]
Nipitapo majaribu, katikati ya miiba,
Ninatosheka kwa kuwa, unanifikiri.
Unanifikiri mimi, waniwaza sana Bwana:
Nahitaji kitu gani? Wewe wanitosha.
[2]
Masumbufu ya dunia yasongayo moyo wangu,
Mwisho yananikumbusha, unafikiri.
[3]
Shida zije au zisije, maisha bora au ya shida.
Mwisho yananikumbusha, unafikiri.

Kuna boya mmoja alinikomalia eti oooh "hakuna binti wa Kinyaki mweupe. Ogopa matapeli". Namtumia hii picha kama uthibitisho wa kauli yake hiyo ya kibaguzi na isiyo na mashiko katika uhalisia. Rangi ya mtume safii![]()

Aisee, kutoka kwenye hii mikono, nime figure mambo mawili matatu kihusu wewe, moja u mrembo sana

Badae nikumbushe rafiki..saivi wacha tusali jumuia kwanzaachana nao.wanajipa stress.we tupia tu rafiki
Here's my all time verse tooHeaven Sent
Saint Anne
Tinsley
Katika Biblia.. yote.. mstari ( mistari), sura ambayo ni favorite kwangu ni hii ( huu).. kila nikisoma kuna kitu naona.. 😥😥
Alidharauliwa na kukataliwa na watu; Mtu wa huzuni nyingi, ajuaye sikitiko; Na kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao, Alidharauliwa wala hatukumhesabu kuwa kitu.
Hakika ameyachukua masikitiko yetu, Amejitwika huzuni zetu; Lakini tulimdhania ya kuwa amepigwa, Amepigwa na Mungu, na kuteswa.
Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, Alichubuliwa kwa maovu yetu; Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake, Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona.
Mkawe na weeekend njema..

ha ha ha wana ubaguzi mwingine utasikia utakua wa Kyela tu sio Tukuyu
ila ni picha tu uhalisia upo tofauti![]()
Nakwako pia Mkuu uwe na weekend njema!Heaven Sent
Saint Anne
Tinsley
Katika Biblia.. yote.. mstari ( mistari), sura ambayo ni favorite kwangu ni hii ( huu).. kila nikisoma kuna kitu naona.. 😥😥
Alidharauliwa na kukataliwa na watu; Mtu wa huzuni nyingi, ajuaye sikitiko; Na kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao, Alidharauliwa wala hatukumhesabu kuwa kitu.
Hakika ameyachukua masikitiko yetu, Amejitwika huzuni zetu; Lakini tulimdhania ya kuwa amepigwa, Amepigwa na Mungu, na kuteswa.
Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, Alichubuliwa kwa maovu yetu; Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake, Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona.
Mkawe na weeekend njema..
sawa rafiki.Badae nikumbushe rafiki..saivi wacha tusali jumuia kwanza
Mkuu nipo tu hapa najipa joto yaaani 😊😊😊😊Nakwako pia Mkuu uwe na weekend njema!