cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,321
- 187,999
Aaaaah wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo ndiyo
Aaaaah wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo ndiyo
Ndiyo mida yake hiiAaaaah wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tangu uende dar....unakula kistaduu sana mheshimiwa
[emoji38]tangu uende dar....unakula kistaduu sana mheshimiwa
usituangushe mwanangu kula misosi...achana na hzi breakfast[emoji38]
Sikuwa na njaa sana leo.
Hili chimbo cool sana, though napitaga tu sijawahi kulewa hapo...Nimelewa kinyama Nipo Taracare..kuna mkaka yupo mbele yangu sijui Kama ntamuacha salama
Hii ndio Chips yai teketeke...?
Nimelewa kinyama Nipo Taracare..kuna mkaka yupo mbele yangu sijui Kama ntamuacha salama
Uzuri wa jipu likiiva na kukamuliwa tu kwisha kazi siku hiyo utalala usingizi mtamuuu na baada ya siku kadhaa kidonda kishakauka. Ila siku mbili tatu kabla halijaiva ni kamuziki safi kwa kweli. Pole aisee!Asante sana kaka. Jipu acha tu ndugu yangu.. hasa la kwenye tako linakutoa kabisa mchezoni..
maandalizi ya weekend ndefu yakoje
Eti Ewaaaa! Kazi kusifia wenzio tu we za kwako hutaki kuweka hata moja watu wakakata kiu. Watu wamefanya kila njia mpaka wengine wameapa kuondoka JF jumla ukiselfika lakini wapi. Unavyotufanyia siyo vizuri Mama Mchungaji[emoji51]Ewaaaaa
Umelewa kinyama halafu unataipu vizuri hivi bila typo hata kidogo. Lete mrejesho halafu. Huyo mkaka ulimwacha salama kweli? Hornet bana! [emoji16][emoji16][emoji16]
😀😀😀Hahahaa pombe siyo chai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jipu kama haliko kwapani basi kwenye mbususu likikosea njia basi kwenye makende au kwenye mataqo kabisa yani jipu kutokea sehemu ya wazi ni nadra sana
Mkuu umenikumbusha mbaliiiii kinomaaa....r.i.p bibi