WachaggaIla chuga kuna wakaka wazuri jamani![]()

Fanya mpango bestTumbebe tukamfiche mahali
ISO ameninunulia smirn offTumbebe tukamfiche mahali

Mimi hata hii siwezi kunywa![]()
Naona chungukwanini Nkamu?
Why redbull?
Naona chungu
Pole Sana KakaPoleni sana. Namshukuru Mungu sijaugua ila nimejikuta na jipu kwenye tako nomaaa kweli unakaa upande upandeee 😂😂😂
Tunashukuru kwa sifa hii nzuriIla chuga kuna wakaka wazuri jamani![]()
ISO ameninunulia smirn off
Sijui nitaweza kweli au ndio ametupa tu hela![]()


Asante sana kaka. Jipu acha tu ndugu yangu.. hasa la kwenye tako linakutoa kabisa mchezoni..Pole Sana Kaka
Kwema lkn
Ina ladha kama ya energy ambayo siwezi kuinywaRedbul sio Chungu Nkamu
Ni mbaya?Nkamu usinywe plz![]()
Usinicheke bana.. nikupe code uje tuugazane nawe si ulikuwa na tu mafua 😂😂😂
Ina ladha kama ya energy ambayo siwezi kuinywa
Ni mbaya?
SodaMwee sasa huwa unakunywa nini?
