Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Miaka mingi sana sijapata mambo haya ya majipu, hili nalishangaa limetokea wapi.. limetibulia mambo yangu kabisaa.. hapa natamani nikalie kichwaaa
Kama limeiva tayari nenda dispensary hasa private, mchague nesi mzuri akutumbue jipu. Usisahahu kuchukua namba ili aendelee kukushauri kuhusu pain killers za kumeza. Mrejesho Utaleta kule kimasiharani Kijana wa hovyo hovyo
 
Saint Anne naamini azuma inazidi kuiweka sawa omicron, get well soon tunakuhitaji kesho ukiwa na afya njema.

Kijana wa hovyo hovyo naamini ulifanyia kazi ushauri wa wadau humu na ulipata kitunguu saum na unaendelea vizuri.
Hapa ndio kikatafutwe mkuu nipake, wengine hatupikagi.. vitu kama hivyo ngumu kuwa navyo ndani 🙁🙁🙁..
 
Kama limeiva tayari nenda dispensary hasa private, mchague nesi mzuri akutumbue jipu. Usisahahu kuchukua namba ili aendelee kukushauri kuhusu pain killers za kumeza. Mrejesho Utaleta kule kimasiharani Kijana wa hovyo hovyo
Saint Anne kanikazia anaweza sana kuhudumia ila kachomoa.. nipo napambana nalo tu hapa
 
Saint Anne naamini azuma inazidi kuiweka sawa omicron, get well soon tunakuhitaji kesho ukiwa na afya njema.

Kijana wa hovyo hovyo naamini ulifanyia kazi ushauri wa wadau humu na ulipata kitunguu saum na unaendelea vizuri.
Nimejiona shujaa nikatoka kwenda kwenyw mishemishe..
Hapa nipo hoi,nimezidiwa kwenye mwendokasi..nataka nirudi kulala.
 
Back
Top Bottom