Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,148
- 190,641
Faida zipo sema wewe hujawahi kuziona sababu huijui pombe😅Kama hujawahi kugusa pombe usiguse Nkamu haina faida yoyote hasa kwa mtoto wa kike.
Faida zipo sema wewe hujawahi kuziona sababu huijui pombe😅Kama hujawahi kugusa pombe usiguse Nkamu haina faida yoyote hasa kwa mtoto wa kike.
Mpikie mchemsho naweeNamlisha bi mkubwa zege.
Kosa alilolifanya ni kuniambia anapenda zege...basi nampa kama dozi.



We tayari ushalewa. Ni wakati mzuri sasa wa kurudi home![]()
Hujanikuta kwenye anga zangu nikiwa napayuka.hiyo hiyo kaupole kaleee... yaaani..![]()
,hususan nitakapokuwa nakamua hilo jipu ..utaimba halleluya amina.Hahhahahahahah kmmmk walaiAsante sana kaka. Jipu acha tu ndugu yangu.. hasa la kwenye tako linakutoa kabisa mchezoni..
maandalizi ya weekend ndefu yakoje
Afadhali yako kalumbu hujipigilii haya majitu ya kuumiza ini. We unahitaji energy tu kwa raha zako![]()

Wacha bibi ale zegeMpikie mchemsho nawee![]()
Pole sana mzee baba😅 jipu limeota ikweta kabisa😅Poleni sana. Namshukuru Mungu sijaugua ila nimejikuta na jipu kwenye tako nomaaa kweli unakaa upande upandeee 😂😂😂
Pole sana mzee babajipu limeota ikweta kabisa
![]()

Nilitaka nijaribu
Jaman hii dunia kuna kila aina ya pombe, mbna hii ndo kwanza naiona hapa?View attachment 2054888
Hii holiday anakufa mtu





Hhaahh tupige Tu moyo konde.Me mwenyewe nimelala hapa macho kwenye Dali mahesabu misumali🤣Asee nashukuru sana baharia niko nimetulia natafakari jinsi ambavyo sikukuu itakwenda nikiwa juu ya mawe!
Raha imekata ghafla😅
hapa kidogo nalipapasa pasa sijui litatumbuka 😂😂😂Hahhahahahahah kmmmk walai
Jau kweli yaniHhaahh tupige Tu moyo konde.Me mwenyewe nimelala hapa macho kwenye Dali mahesabu misumali🤣
Tunashukuru kwa sifa hii nzuri
Watu wa chuga piga keleeeee......
Kuna chupa za pombe jinsi zilivyo nzuri zinanipa imani kwamba na mimi naweza kunywa.





Dah hilo jipu la mchongo😅hapa kidogo nalipapasa pasa sijui litatumbuka 😂😂😂
Faida zipo sema wewe hujawahi kuziona sababu huijui pombe![]()
