Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Kuna ubwabwa mbonaUnashiba kweli hii bila ubwabwa![]()
Kuna ubwabwa mbonaUnashiba kweli hii bila ubwabwa![]()
Huo sio ulaji wa kinyaki! Umeshaanza ku slay eeh😜Kuna ubwabwa mbona
Mnyaki hata kama hana njaa lazma ale vya kutosha na parachichi mbona silioni hapo😅
Sikuwa na njaa
Asee afadhali,maana kuna mdau mmoja akasema D ana Tatizo la kupotezea simu, inawezekana amedondosha,nikamjibu sasa hivi inabidi awe anafunga kamba kisha anaining'niza shingoni km amevaa cheniNipo Satoh
Tunaendelea na trips za hapa na pale 😂
Maparachichi yapo mengi sana,ni vile tu nilikuwa sijisikii kula jana.Mnyaki hata kama hana njaa lazma ale vya kutosha na parachichi mbona silioni hapo![]()
Kuliko kulala njaa nikaona bora nile.acha uongo.
Ndiyo boss,Hii ndio Chips yai teketeke...?




PooleAiseee kumbe bado naumwa![]()
Kwa kujifungia ndani muda wote.Wakuu hivi kuna namna unaweza epuka hii seasonal flu??
Pole sanaNimejiona shujaa nikatoka kwenda kwenyw mishemishe..
Hapa nipo hoi,nimezidiwa kwenye mwendokasi..nataka nirudi kulala.
Nimejiona shujaa nikatoka kwenda kwenyw mishemishe..
Hapa nipo hoi,nimezidiwa kwenye mwendokasi..nataka nirudi kulala.
That is imposible... is there any another way?? Maana naona jinsi inavyotesaKwa kujifungia ndani muda wote.
🙏Pole sana
Namna nyingine ni kupambana na hali yako homa ikikukamata😂That is imposible... is there any another way?? Maana naona jinsi inavyotesa