Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jipu halijawahi kuwa sehemu likaleta afadhali..

Sent using Jamii Forums mobile app
Jipu kama haliko kwapani basi kwenye mbususu likikosea njia basi kwenye makende au kwenye mataqo kabisa yani jipu kutokea sehemu ya wazi ni nadra sana
 
Hilo tunalitoa kavu bila kupaka chochote.

image-2021-12-23-21:46:38-845.jpg

Ukiona kimya ujue Kafa mtu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
25 December....Mapema sana..Ikukute Kimashuku[emoji28]

EID nisije kushindia Ugali mimi[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani unaelewa🤣🤣🤣🤣
Bora hata huo ugali upatikane
Utajua hujui🤣🤣🤣🤣🤣
Naanza safari kesho jioni
Kimashuku inanihusu
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Si hadi liive? Litakuwa siyo jipu hilo..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni jipu, sema la tako huwezi lipiga picha, unaweza kuta tako limepaukaaa 😂😂😂😂 hapa nachart kidogo huku kujipoza maumivu.. hadi nipitiwe na usingiz.. nilikishika hivi bado bado
 
Jipu kama haliko kwapani basi kwenye mbususu likikosea njia basi kwenye makende au kwenye mataqo kabisa yani jipu kutokea sehemu ya wazi ni nadra sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom