Unajua nimekuuliza hivyo Kwa sababu sijawahi kuona picha zako nadhani napishana nazo au unazifuta
Alafu niseme Tu ukweli,kingine kilichonifanya nimekuuliza ni kwamba sikuwahi kudhani km wewe ni wa kike maana maana Aina ya michango yako hapa Jf imekaa kimlengo fulani wa 'mwanaume aliyeleft group' a mara nyingi umekuwa unaingia ktk migogoro na watu wenye misimamo mikali juu ya hiyo Tabia .
Kama kweli ni binti na mrembo hivi basi uko vizuri








yaan nimecheka nusu niangushe cm wallah.
Iv kwan mnakua serious sana na baadhi ya watu? Aidha mie niwe ke au me niliye left group sidhan km kwako ni tatzo.
Km kupitia michango ya mlengo au tabia fulani kuhusu kutetea, sio kila mtu anayetetea jambo fulan bas n muhusika, ila inakua ktk kuweka ukweli wa jambo. Sijawahi kuwa ktk mgogoro na mtu/watu ila huwa unatokea pale kukosana au kuelekezan juu ya jambo fulan huwaa inakua kutokubaliana.
Kuhusu picha zangu hili sio suala la msingi sana,maana wako wengi humu me/ke ambao wao hawajawahi weka hata picha ya mkono wao, sio ajabu na sio tatizo coz kila mtu ana maamuzi yake. Ila mie picha zangu zipo nyingi sana huko juu ukitaka wee pandisha juu utaziona
Labda nikupe angalizo usiwe sana serious na watu ktk hii forum, wako ke wanaotumia Id na avatar za me, pia wako me wanaotumia Id na avatar za ke. Pia wako wanaotumia Id na avatar za uhalisia wa jinsia zao. Sasa ukiwa serious ktk kuchunguza jinsia za watu humu utachelewa,





Mwisho wa siku utajikuta uko opie na fikra/mawazo yako ukabaki unastaajabu na kushangaa,km sio kutoa povu km huyo jamaa wa jana aliyedhan hizo Id 10 n pisi kali kumbe wife materials.





Lets enjoy, Jf Burudani kwa wote.