Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,516
- 235,229
Ni tamu kama soda gani?View attachment 2055024Njoo uonje hii[emoji28]
Ni tamu kama soda gani?View attachment 2055024Njoo uonje hii[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23]Bia tamu[emoji482]
Yaan atalia huyo kaka, ila uzuri wake linaiva haraka,kumbe shida kuvuta!? nimeshampa angalizo kuhusu hilo na ndio utendaji kazi wa hiyo dawa..
Hawachelewi kukulewesha alafu baadae wanakuvutia kwenye Giza[emoji28] kukudai malipo ya pombe waliyokunyweshaWahuni hawana maaana [emoji23][emoji23]
[emoji173]
Dada yupi? Nnao wengi mno. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weka picha ya dada tumuone
Hahahahahah jipu halina ishu now siliogopi labda liotee kichwani😅 au kwenye kendeYaan atalia huyo kaka, ila uzuri wake linaiva haraka,
Jipu mie liliwahi ota ktk paja kwa nyuma chin ya makalio, [emoji23][emoji23][emoji23] sitasahau, jipu lisikie kwa mwenzio sio likupate wee.
Ni kisukuma hichi ?Mwabeja sana[emoji28]
Ni wee hapo bhana [emoji7][emoji7][emoji7]Picha tu hiyo mimi ni sura ya baba [emoji817].
Thanks
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji20][emoji20][emoji20] Miaka mingi sana sijapata mambo haya ya majipu, hili nalishangaa limetokea wapi.. limetibulia mambo yangu kabisaa.. hapa natamani nikalie kichwaaa
Kumbe na wewe huwa zinakukolea hadi unalewa![emoji23][emoji23][emoji23]Nishalewa
Oyeeeeeeee.......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naelewa vyema....Nistahi basi[emoji2]
Aki nitajua sijui..Na safari Ianze kesho tu Mambo yasiwe mengi Jumamosi..
Kimashuku Oyeeeee[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
halii bwana, haiumi kihivyo huyo dada yako alikuwa anataka kubembelezwa tu..Yaan atalia huyo kaka, ila uzuri wake linaiva haraka,
Jipu mie liliwahi ota ktk paja kwa nyuma chin ya makalio, [emoji23][emoji23][emoji23] sitasahau, jipu lisikie kwa mwenzio sio likupate wee.
Ni wimbo mzuri sana Mama Mchungaji. Asante kwa kutushirikisha
View attachment 2055049
Eeh nimeotea sijui nimepatia😅Ni kisukuma hichi ?
Jipu kila likaa sehem lina jina lake, machon - kipesani, kweny paja - mwambafu, makalio - mtyaza, makende - mbujuju, kwa kilugha chetu lakini. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahah jipu halina ishu now siliogopi labda liotee kichwani[emoji28] au kwenye kende
Maana yake ni nashukuru au ?Eeh nimeotea sijui nimepatia[emoji28]
Wabeja sana
[emoji3531][emoji173]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mdogo wangu Makiwendo naelewa mwenyewe unavyotukubali vijana wa chuga
Hebu wathibitishie wana selfika hapa[emoji12]