Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,518
- 235,230
Njoo nikufundishe kula zege dogoNa utapika chips yai wee khaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo nikufundishe kula zege dogoNa utapika chips yai wee khaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitajaribu..Unywe sasa acha masihara na nanasi hilo!
Sijui nimelipataje aseee.. linaniungizia picha kishenzi 😂😂Dah hilo jipu la mchongo😅
hiyo usijari kabisaaa.. ndio maana nzuri hiyo ifanyikie mbali 😂😂😘Hujanikuta kwenye anga zangu nikiwa napayuka.
Halafu sina huruma na mgonjwa[emoji23],hususan nitakapokulia nalikamua hilo jipu ..utaimba halleluya amina.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wala hata hujanikwaza mie, niko cool sana afu full burudaan yaan, picha zangu ziko juu huko nyingi mno. Au siku nikiweka nita kutag pia.Nimekuelewa..Sorry km nimekukwaza lkn.No hard feelings.
I don't care vyovyote vile mtu akiwa vile ndy maana sijawahi kuingia mgigoro wala majibizano ya Aina ile maana ni maisha aliyoyachagua
Tuendelee kuselfika
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hahahahah unakaa tako moja😅Sijui nimelipataje aseee.. linaniungizia picha kishenzi 😂😂
Kunywa unipe mrejesho sahiziNitajaribu..
Nitaleta mrejesho.
Chaa!hiyo usijari kabisaaa.. ndio maana nzuri hiyo ifanyikie mbali [emoji23][emoji23][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😅😅😅😅😅😅😅usimchuuze mwenzio[emoji3]
Sasahivi naitoa wapi wakati hamkuniletea.Kunywa unipe mrejesho sahizi
Si umesema ISO alikununulia😅Sasahivi naitoa wapi wakati hamkuniletea.
[emoji1787][emoji1787]Hahahahah unakaa tako moja[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo najulia wapi? Songea kuna mambo hayo ya Amarulah? Nimezoea amarulah n wimbo wa msanii Roberto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaahh!ulikua hujui?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante sana kaka. Jipu acha tu ndugu yangu.. hasa la kwenye tako linakutoa kabisa mchezoni..
maandalizi ya weekend ndefu yakoje
Iso bwana!,nilimzingua j2.Si umesema ISO alikununulia[emoji28]
Mie nilizibugia sikuile nakwambia njoo unifate 😅 tamu balaa!Iso bwana!,nilimzingua j2.
J2 alinitafuta eti tuende kunywa,nikamwambia naumwa..akasema nisimtanie kabisa,hata yeye yupo ana dose ya sindano na anakunywa[emoji1787][emoji1787]
Hii juice? [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila chuga kuna wakaka wazuri jamani [emoji7][emoji7]
Nikufate ili nizimie huko?Mie nilizibugia sikuile nakwambia njoo unifate [emoji28] tamu balaa!