Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna chupa za pombe jinsi zilivyo nzuri zinanipa imani kwamba na mimi naweza kunywa.

image-2021-12-23-19:50:58-345.jpg

Njoo tunywee hata haileweshi
 
yaan nimecheka nusu niangushe cm wallah.

Iv kwan mnakua serious sana na baadhi ya watu? Aidha mie niwe ke au me niliye left group sidhan km kwako ni tatzo.

Km kupitia michango ya mlengo au tabia fulani kuhusu kutetea, sio kila mtu anayetetea jambo fulan bas n muhusika, ila inakua ktk kuweka ukweli wa jambo. Sijawahi kuwa ktk mgogoro na mtu/watu ila huwa unatokea pale kukosana au kuelekezan juu ya jambo fulan huwaa inakua kutokubaliana.

Kuhusu picha zangu hili sio suala la msingi sana,maana wako wengi humu me/ke ambao wao hawajawahi weka hata picha ya mkono wao, sio ajabu na sio tatizo coz kila mtu ana maamuzi yake. Ila mie picha zangu zipo nyingi sana huko juu ukitaka wee pandisha juu utaziona

Labda nikupe angalizo usiwe sana serious na watu ktk hii forum, wako ke wanaotumia Id na avatar za me, pia wako me wanaotumia Id na avatar za ke. Pia wako wanaotumia Id na avatar za uhalisia wa jinsia zao. Sasa ukiwa serious ktk kuchunguza jinsia za watu humu utachelewa,

Mwisho wa siku utajikuta uko opie na fikra/mawazo yako ukabaki unastaajabu na kushangaa,km sio kutoa povu km huyo jamaa wa jana aliyedhan hizo Id 10 n pisi kali kumbe wife materials.

Lets enjoy, Jf Burudani kwa wote.
Nimekuelewa..Sorry km nimekukwaza lkn.No hard feelings.
I don't care vyovyote vile mtu akiwa vile ndy maana sijawahi kuingia mgigoro wala majibizano ya Aina ile maana ni maisha aliyoyachagua

Tuendelee kuselfika


Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom