Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Weweee!

ABV 37.5% mziki mzito huo. Mi mwenyewe niko chimbo hapa hata sijui nitaondoka na nini ila natafuta mchanganyiko maalum...ule wa kulewesha "kistaarabu" [emoji16][emoji16][emoji16]

Gheto nina Grand Marnier ya kutosha hapa natafuta visindikizio tu...Holidays!

View attachment 2054917

Holiday ni mwendo wa kujiua tu
 
Nimeitamani [emoji7][emoji39]
Ni tamu?

Sana
image-2021-12-23-20:46:39-262.jpg

Si unaona nilipo
 
Back
Top Bottom