Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,818
- 233,249
Mwenzio anaiona tamu kama asali.Tena nahisi uzoefu pro max
Machungu hayo makitu jamani
Mwenzio anaiona tamu kama asali.Tena nahisi uzoefu pro max
Machungu hayo makitu jamani
Mimi nimetoka kuugua wiki moja na nusu sasa.Nafuu nimeanza kuipata janaKama umemaliza hizi week mbili ujaugua...
Ni jambo la kumshukuru Mungu kwa kweli.
Broad spectrum antibiotic. Walevi wanakwambia hii ni sawa na kvant au valuuEeeh!
Basi mtakuwa na added advantage maana dawa hiyo ni multi purpose...inatibu hadi covid , typhoid na Amoeba.
🙄🙄 Bora kusimangwa, unaambia uende na mlie peana, wakati hapo hata hujui ulipo utolea ndio kizaa zaa kinaanzia hapo na Dr, unakuta analeta nyoodoo.. Ukweli Azah ni mkombozi pamoja na Azuma.. wamepusha mabaharia kukutana na fedheaLakini yakizidi inabidi mje kusimangwa kwanza![]()
Nimekamatwa na mafua makali..hata sipumui kwa raha..Mimi nimetoka kuugua wiki moja na nusu sasa.Nafuu nimeanza kuipata jana
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Poleni sana. Namshukuru Mungu sijaugua ila nimejikuta na jipu kwenye tako nomaaa kweli unakaa upande upandeee 😂😂😂Mimi nimetoka kuugua wiki moja na nusu sasa.Nafuu nimeanza kuipata jana
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Poleni sana. Namshukuru Mungu sijaugua ila nimejikuta na jipu kwenye tako nomaaa kweli unakaa upande upandeee![]()





ndiyo








na uzee huu ndo mmejua Leo na hivi sifatilii zaidi ya vinandaaBora kusimangwa, unaambia uende na mlie peana, wakati hapo hata hujui ulipo utolea ndio kizaa zaa kinaanzia hapo na Dr, unakuta analeta nyoodoo.. Ukweli Azah ni mkombozi pamoja na Azuma.. wamepusha mabaharia kukutana na fedhea

na uzee huu ndo mmejua Leo na hivi sifatilii zaidi ya vinandaa

Broad spectrum antibiotic. Walevi wanakwambia hii ni sawa na kvant au valuu

Kaahh!ulikua hujui?Kumbe Amarulah ni pombe kweli,
Nliwahi bishana na mtu had akataka kulia, khaaaah.
Mie nakazan ni wimbo wa msanii Roberto.![]()
Rock hill ipo maeneo ya wapi? ShemRock Hill?![]()
Hapa umeongea la maana, maana sio kwa maumivu nayopata, kukaa imekuwa msalaaa 😊😊😊😊😂😂😂😂
Njoo nikukamue.
Najitolea kulikamua na kukuuguza bure kabisa![]()
Unajua pa kunipata.Hapa umeongea la maana, maana sio kwa maumivu nayopata, kukaa imekuwa msalaaa![]()


Hizi dawa ukienda nunua kwa vijana wa hovyo kama mie wanajua , tayari kijana yupo connected  hata kama unaenda tibia kifua, wao watajiongeza tu
Ila hizi dawa mbaya sana.
Mabaharia wanavumilia aisee...hivi nawaza tu nisikunywe maana nipo poa tu sasahivi.
Naja babeUje sasa
Au unakula hizo mara 3Wa kishua.
Wengine tukienda kula huko,inabidi tukashindilie tena ugali nyumbani.
ndio unashiba