Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Noma sana, 😂😂Hahahahah unakaa tako moja😅
Noma sana, 😂😂Hahahahah unakaa tako moja😅
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani nawakumbusha Eid haiko mbali..msije mkasema tu sisi ni fake friends...[emoji1787]
Usafiri si upo wasiwasi wako nn mrembo?Nikufate ili nizimie huko?
Siwezi!
Nacheza maeneo ya home tu.
Asante sana, Makiwendo
Hilo wanasema paka kisamvu kifunge na plasta kesho ukibandua kimeumanaNoma sana, 😂😂
Shida nipo alone, namuita Saint Anne aje atoe msaada hataki.... kanitenga kabisaaHilo wanasema paka kisamvu kifunge na plasta kesho ukibandua kimeumana
Nikayumbe kwenye mwendokasi au siyo[emoji1787]Usafiri si upo wasiwasi wako nn mrembo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimelewa kinyama Nipo Taracare..kuna mkaka yupo mbele yangu sijui Kama ntamuacha salama
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Makiwendo tafadhali njoo usome ujumbe wako hapa[emoji1787]
Hilo tunalitoa kavu bila kupaka chochote.Hilo wanasema paka kisamvu kifunge na plasta kesho ukibandua kimeumana
Ewaaaaa.. mambo yenyewe ndio hayo sasa.. nahitaji huruma kabisaaa 😊😊😊Chaa!
Wewe mgonjwa wa mwendokasi.
Na unavyotia huruma usoni,si nitakuonea huruma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We tayari ushalewa. Ni wakati mzuri sasa wa kurudi home [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah mie nimepitwa na vitu vingi. Hadi naambiwa sasa nina tofaut gan na mganga wa kienyeji. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wacha bibi ale zege
Nakushusha kwako kabisa, wala huna haja ya mwendokasiNikayumbe kwenye mwendokasi au siyo[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana mzee baba[emoji28] jipu limeota ikweta kabisa[emoji28]
Utaamuua baba paroko😅Hilo tunalitoa kavu bila kupaka chochote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee thubutuu, bas wanachuo wanazipenda hizo, nawatazama naishia kusonya moyoni. [emoji23][emoji23][emoji23]Njoo nikufundishe kula zege dogo
Sio kupatwa perse..wengine vichwa vizito hayo mambo ni talentUlipatwa na nini?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hapa kidogo nalipapasa pasa sijui litatumbuka [emoji23][emoji23][emoji23]