Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,518
- 235,234
[emoji120][emoji120][emoji120]Nilitaka nijaribuKama hujawahi kugusa pombe usiguse Nkamu haina faida yoyote hasa kwa mtoto wa kike.
[emoji120][emoji120][emoji120]Nilitaka nijaribuKama hujawahi kugusa pombe usiguse Nkamu haina faida yoyote hasa kwa mtoto wa kike.
Mimi nakukamua jibu na nakuacha upambane na hali yakoUsinicheke bana.. nikupe code uje tuugazane nawe si ulikuwa na tu mafua [emoji23][emoji23][emoji23]
hata hiyo inatosha kabisaa, ila shurti unibembeleze nilale ndio huduma nzuriMimi nakukamua jibu na nakuacha upambane na hali yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata hiyo inatosha kabisaa, ila shurti unibembeleze nilale ndio huduma nzuri
Kaka sikukuu imekuja vibaya sn upande wanguAsante sana kaka. Jipu acha tu ndugu yangu.. hasa la kwenye tako linakutoa kabisa mchezoni..
maandalizi ya weekend ndefu yakoje
Aah! na kale ka sauti nikiwa nabembelezekaaa aiiii 😬😬😬😬😬 mbona nalala hapo hapo magotini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilivyo kauzu
Afadhali yako kalumbu hujipigilii haya majitu ya kuumiza ini. We unahitaji energy tu kwa raha zako [emoji16]
Tumwike Bwana fedheha zetu.. hashindwi kutufanyia jambo jipyaKaka sikukuu imekuja vibaya sn upande wangu
Mfukoni apecha alolo
Sauti gani hiyo unaisemea?Aah! na kale ka sauti nikiwa nabembelezekaaa aiiii [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51] mbona nalala hapo hapo magotini
hiyo hiyo kaupole kaleee... yaaani.. 😋😋😋Sauti gani hiyo unaisemea?
Au umechanganya[emoji23][emoji23]
Makiwendo tafadhali njoo usome ujumbe wako hapa🤣Jamani nawakumbusha Eid haiko mbali..msije mkasema tu sisi ni fake friends...🤣
We tayari ushalewa. Ni wakati mzuri sasa wa kurudi home [emoji16][emoji16][emoji16]Ila chuga kuna wakaka wazuri jamani [emoji7][emoji7]
Unywe sasa acha masihara na nanasi hilo!ISO ameninunulia smirn off
Sijui nitaweza kweli au ndio ametupa tu hela[emoji23]
Na utapika chips yai wee khaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Picha kama hizi muwe mnatolea ilani pale chini kwanba 'Don't try this,it is only for professional experts"
[emoji120][emoji120][emoji120]Nilitaka nijaribu