Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,208
- 29,335
🤣🤣🤣🤣🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶😄😄😄😄😄
Kivipi tenaaaa???
Stephen CurryGuess who's back View attachment 2044673
Poleeee dea.View attachment 2044605
Huu Upepo wa homa ni mimi tu? sio kwa viungo kuuma hivi plus sauti kukauka
Dea, [emoji7][emoji7][emoji7]Halafu kweli[emoji23][emoji23]. Chui chui day kwa wanyaki.View attachment 2044660
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu weka nione mama malezi.Madameeeeee looking gorgeous
Ngoja nikatafute chuichui na mimi, siwezi kupitwa khaaa
Mashine ya viwangoHalafu kweli[emoji23][emoji23]. Chui chui day kwa wanyaki.View attachment 2044660
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] toka hapaahKwendraaaaaa
Bado nafanya kautafiti na cariha naye ni kabila gani maana dah [emoji1787][emoji1787]Yaani nikikuta kuna mabishano; halafu na wewe ukawemo; aisee ni mtakesha. The same akiwepo Anne au Karma; bila kujisahau na mimi mwenyewe. Kwa kweli tupo vizuri ndugu zangu mweeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mchaga yule, [emoji23][emoji23][emoji23]Bado nafanya utafiti na cariha naye ni kabila gani maana dah [emoji1787][emoji1787]
Babuuuh hebu fanya upungue khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila hebu tuweni wakweli kuna wenzetu hapa ni ngumu kutupia kabisa.. Yani hata kidole chao wanaona shida.. Hebu basi leo kila mtu atupie picha yake ya kiungo chochote kasoro cha siri[emoji23]View attachment 2044848