Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Katika wote sisi; angalau wewe ndiyo unajitahidi kwa upole;hawa ndugu zangu wengine ni shida kwa kweli. Ingawa kwenye misimamo yako sasa; nasemaga hakika huyu ni mnyaki[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe na yeye angalau mnatuwakilisha kwenye kipengele cha upole.
Sisi wengine sasa mwee[emoji1787]
 
Katika wote sisi; angalau wewe ndiyo unajitahidi kwa upole;hawa ndugu zangu wengine ni shida kwa kweli. Ingawa kwenye misimamo yako sasa; nasemaga hakika huyu ni mnyaki[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23] Wadada wa Kinyaki huwa wanajiamini sana na ni kitu kizuri.

Misimamo naona ipo kwenye damu zetu[emoji2][emoji2]huwa nakusoma Nkamu unatoa point taratibu na utulivu ila madini tupu
 
Back
Top Bottom