Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Baada ya sindano ndo ukapitiwa hivi au ulinogewaLol ngoja nitoke kitandani uvonamsha ndo nashtuka eti.
Thanks kwa kuniamsha!![]()
Baada ya sindano ndo ukapitiwa hivi au ulinogewaLol ngoja nitoke kitandani uvonamsha ndo nashtuka eti.
Thanks kwa kuniamsha!![]()
Morning my nesiii mahondawMorning lee![emoji113]
Thighs [emoji39][emoji39][emoji39]Halafu kweli[emoji23][emoji23]. Chui chui day kwa wanyaki.View attachment 2044660
Habari za asubuhi mahondawMorning lee![emoji113]
Hannah hii gari inakwenda hapa au umesimama?? Usiwege unabana miguu hivyo utakuja kuumia bure aiseeeeHalafu kweli[emoji23][emoji23]. Chui chui day kwa wanyaki.View attachment 2044660
Nkamu[emoji173]
Mimi hali ya hewa ikichange tu na ya kwangu inabadilika naanza kupambana na kifua.
Ukiumwa ndio unakuwa hivi aiseeee??? Duh! Pole sana, suala la viungo linaeleweka tatizo hapo kwenye sautiView attachment 2044605
Huu Upepo wa homa ni mimi tu? sio kwa viungo kuuma hivi plus sauti kukauka
Sio wewe tu aisee...huku kwetu mtaa mzima kila mtu anahomaa
Anyway yaliyomo yamooo [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Simara ugonjwa wangu huu, chuichui nimemwelewa sana! [emoji2365][emoji2365][emoji2365]
Halafu kweli[emoji23][emoji23]. Chui chui day kwa wanyaki.View attachment 2044660
Jamani, nishachoka kurudia neno hilo hilo mara nyingi!Halafu kweli[emoji23][emoji23]. Chui chui day kwa wanyaki.View attachment 2044660
Ukiumwa ndio unakuwa hivi aiseeee??? Duh! Pole sana, suala la viungo linaeleweka tatizo hapo kwenye sauti
Hali ya hewaayaani sijui ni hizi mvua.
The thing ni kwa chuichui huyo hai-potray kuumwa.[emoji3][emoji3][emoji3]asante.
sauti sababu ya kifua, hope itakaa sawa ngoja nipambane na matangawizi
The thing ni kwa chuichui huyo hai-potray kuumwa.
Yaani madaktari kumbe wana raha sana[emoji1][emoji1]
Nilipitiwa rafiki!!Baada ya sindano ndo ukapitiwa hivi au ulinogewa