cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,173
Eeeeh naelewa babuuuh cha kufutiaYa nini sasa mjukuu hujui kitambi ndio pesa hapa town![]()
?



Eeeeh naelewa babuuuh cha kufutiaYa nini sasa mjukuu hujui kitambi ndio pesa hapa town![]()
?



Oohh kama miss pablo tu maana naye siku akiamua kubisha mtapendaMchaga yule,![]()


Wewe kabila ganiNilikua sijui km wanyakyusa n watani zangu, eti ndo nimejua jana.
, khaaaah
Wanyaki mpoooh?


Oohh kama miss pablo tu maana naye siku akiamua kubisha mtapenda![]()




wale ni hatari na nusu.Hata wewe ni mpole mbona![]()
Ukinywa diclopar usinywe brufennilipewa Amoxyllin, Brufen, Citrizen na Kofylin ila nimejiongezea Diclopar sijui ndo najioverdose
Yeye na Ms pablo; are our half sisters-Kilimanjaro moja. Wapo vizuri kwa kweliBado nafanya kautafiti na cariha naye ni kabila gani maana dah![]()





Ila hebu tuweni wakweli kuna wenzetu hapa ni ngumu kutupia kabisa.. Yani hata kidole chao wanaona shida.. Hebu basi leo kila mtu atupie picha yake ya kiungo chochote kasoro cha siriView attachment 2044848
Inabidi nianze kukuiga na upole![]()
Chaaaa!!!!Hhehehe sisi sote ni wapole mbona![]()







Anne mamboChaaaa!!!!
Mimi umenionea kuniweka hapo kwenye upole.
Sijui nitaweza!
Mungu saidia.
Ila mimi siyo mbishiYaani nikikuta kuna mabishano; halafu na wewe ukawemo; aisee ni mtakesha. The same akiwepo Anne au Karma; bila kujisahau na mimi mwenyewe. Kwa kweli tupo vizuri ndugu zangu mweeh




SafiAnne mambo