Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,200
Umefufukia wapi rafiki Jana ukazingua..!!! Kweli niliwaandalia wewe na msukuma Shimba Ya Buyenze Ila mkafia timuhahahahaha
Umefufukia wapi rafiki Jana ukazingua..!!! Kweli niliwaandalia wewe na msukuma Shimba Ya Buyenze Ila mkafia timuhahahahaha
Aaaaaaaaa acha hizo bhanaaaa!Nchi???
ni Kyela vijijini huko Mkuu
Usije ukanisahau na chuichui wako mwanawane.
Japo unitag tu hahahah
Saint Anne huwa selfie zake zinanipita ngoja nipande Mlima
Ndio nkataka kushangaa, shingo hiyo iko wapi??Shingo!!!?? 🤣🤣🤣 Wapi hapoo???

Hivi hili jukwaa pendwa hakuna wanawake wa KISUKUMA na wao leo wavae ng'ombe ng'ombe watupie humu ili tuone kama yaliyomo yamo?
Wanyaki yamo kwa kweli![]()
Aaaaaaaaa acha hizo bhanaaaa!
Nilipoona tu umechelewa kujibu nikajuwa tu inatèmbea.Inatembea.
Sawa best, sitabana tena.
🤣🤣🤣🤣.. nimeona nimeona best...Kumbeeee??? Sio vibaya bestyyyy. Hawa watu wa Mbeya umoja wao si wa kitoto ndio wakaamua wawe na chui chui day
Nilikuwa sijui nkamu, ingawa tabia zetu zinaendana kabisaJamani kumbe ulikuwa haujui? .




Live zinafutwa siku hiziNikimpata tu, utamuona hapa live
Nzuri

Asante






Wee mirsz nawe mtundu mtundu kumbe!!Ndio nkataka kushangaa, shingo hiyo iko wapi??
Au T 1990 ELY kaona vibaya??
Live zinafutwa siku hizi
Ponapona yangu ni dawa za asthma.mwee Nkamu pole sana
