Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Pole sana ...Hakuna jipya hapa duniani mpendwa; na mambo yote ukiyatazama katika ujumla wake ni ubatili tu. It has been 3 yrs lakini utafikiri ni juzi tu yaani
Wapendwa wetu waliotangulia walale salama; na sisi tuliobaki tujiandae ili tuwe na mwisho mwema. Tuendelee kuselfika sasa. No condolences please .
View attachment 2043447
Waguma Mshaija kumbe Waijua Mitaa hii ee karibu.Uhindini (Ira) mpaka orofea ...
Dooh kwahiyo ndiyo ukaona ukituambia tutafaidi sana siyo? Nimekununia!Juzi December 12 ilikuwa birthday yangu bana. Nilikuwa bado nalishwa keki.
Nimekuta picha zote ulizoselfika umefuta. Roho inauma hatari!




Kuhusu msiba wa mama yake alishawahi kutuambia alifariki kwenye birthday yake ya miaka mitatu iliyopita siyo hii ya juzi. Kwahiyo anasema tangu mwaka huo huwa hasherehekei birthday yake kwa sababu anamkumbuka zaidi mama yake.Siku hio hio alipata msiba wa mamake!!
Hilo eneo nililoBold ni kivumishi, Kielezi, Nomino, Kiwakilishi au Kitenzi?tumbo bwefu, mzee tiaraaaeeeiiii.
Pole kumpoteza mama mkuu, tena kwenye siku yako ya kuzaliwa. Ilitokea kwangu pia, siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa nikapoteza mtu muhimu.Asante besti. Nitapita nyumbani kwako leo au kesho
Mtu ukizeeka hata mzuka wa kusherehekea birthday hakuna. Na mimi nimekulia kijijini huko hakuna mambo ya birthday wala nini hivyo huwa sisherehekei japo wapo watu wanaojaribu kunilazimisha. Ila sema tu hapa majuzi juzi kiliumana mama naye akafariki siku hiyo hiyo hivyo kwangu sana sana siku hii imegeuka na kuwa siku ya kumkumbuka mama zaidi kuliko birthday hasa ukizingatia kuwa nilikuwa last born wake ()...
View attachment 2043417
Kitabu cha "Wimbo Ulio Bora" nadhani kimeandikwa na Mfalme Suleimani - Mfalme Tajiri wa mali, Hekima na Wake. Nadhani hatotokea Mtu wa kuvunja RECORD yake kwenye maeneo hayo.Huu mwandiko kama mashairi ya kitabu Fulani kwenye bible. Daa Ile mistari inamsifia mwanamke mpaka anaenda kibra mwenyewe. Ngoja niitafute nikumbushie.
Mambo mengine ni kusumbua watu tu. We najua huwezi kuninunia halafu. I hope hujambo na wapendwa wako!Dooh kwahiyo ndiyo ukaona ukituambia tutafaidi sana siyo? Nimekununia!![]()
Huwapati wajukuu zangu ng'o hata uweke Rolisi Roisi orijino. Tena ngoja niwashtue wakae chonjo kwa sababu umekuja kivingine kabisaView attachment 2043969
Kitu original

Ungetukumbusha tu ili walau tukuimbie "hepi sabidei" last born wetuMambo mengine ni kusumbua watu tu. We najua huwezi kuninunia halafu. I hope hujambo na wapendwa wako!







