T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,091
- 30,492
Hahaha...kiungo cha siri ndo kipi hicho mkuu?Ila hebu tuweni wakweli kuna wenzetu hapa ni ngumu kutupia kabisa.. Yani hata kidole chao wanaona shida.. Hebu basi leo kila mtu atupie picha yake ya kiungo chochote kasoro cha siri[emoji23]View attachment 2044848
Mfano huyu mkuu Heaven Sent ni mgumu sana kutupia/kuselfika viungo vyake
Habari za asubuhi mkuu Mshana Jr