T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,928
- 30,075
Sawa mpendwanjia rahisi nadhani vocha, nitakuambia itanifikiaje.
Sawa mpendwanjia rahisi nadhani vocha, nitakuambia itanifikiaje.
Depal yupo kwangu mkuuYu wapi Depal ?nakaribia wiki sasa sijamwona popote
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hannahna mimi umeniweka kundi la "hawa ndugu zangu wengine " jamani?
"Hawa Ndugu zangu wengine ni shida kwa kweli"Katika wote sisi; angalau wewe ndiyo unajitahidi kwa upole;hawa ndugu zangu wengine ni shida kwa kweli. Ingawa kwenye misimamo yako sasa; nasemaga hakika huyu ni mnyaki![]()
Shukran kwa taarifaKwa wanyaki; yeye ni mpole sana
😂😂😂😂😂😂
Umeiona lakini shingo?
Mkuu unafeliiiiiii

Sawa mpendwa




Wewe na yeye angalau mnatuwakilisha kwenye kipengele cha upole.
Sisi wengine sasa mwee![]()
Nzuri sana bestyyyy. Mihangaiko tu mingi sanaaaaNimefika best.
Za masiku?
Huko beach huh?!
Basi serikali ni ya kupongezwa
Ooh!!sawaHaya ingia PM utakuta maelekezo
Hakuna shingo baba sema una makengezaUmeiona lakini shingo?![]()

Wadada wa Kinyaki huwa wanajiamini sana na ni kitu kizuri.
Misimamo naona ipo kwenye damu zetuhuwa nakusoma Nkamu unatoa point taratibu na utulivu ila madini tupu
Kwa kweli. Ngoja niende kule nikaangalie kuna kitu kama nakumbuka hivi halafu ntarudiNdiyo hadi huko beach.
ndiyo ipongezwe
ata mimi aisee,.na ninahisi baridi sana
Dawa gani unatumia?
na mimi umeniweka kundi la "hawa ndugu zangu wengine " jamani?
Hakuna shingo baba sema una makengeza
Habari za asubuhi mkuu