Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,416
Kuna nini????ila wewe jamani
Kuna nini????ila wewe jamani
Nimemzuia kwa muda asiingie jf kwa sababu namuhitaji kipindi hiki cha sikukuu
Kuna nini????
Mwenyezi MUNGU awabariki Sana.Ila Acha udictetaNimemzuia kwa muda asiingie jf kwa sababu namuhitaji kipindi hiki cha sikukuu
Mimi na huyo ..... ni wazima wa afya kabisa(tunaendelea vizuri)
HahahahaHakuna shingo baba sema una makengeza
Vizuri sana kama ni nzuri kabisaNzuri kabisa, sijui wewe
AMINAMwenyezi MUNGU awabariki Sana.Ila Acha udicteta
Hivi kumbe na mimi ni mtulivu jamani?[emoji23][emoji23]
Kwa kweli. Ngoja niende kule nikaangalie kuna kitu kama nakumbuka hivi halafu ntarudi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha u fataki babuuh khaaahNitaenda kesho mjukuu
Isiwe kesi sheikh wangu hahaahahahahHahahaha
Wewe ndo unamakengeza Sheikh
Subiri basiiiiiUende wapi [emoji3]
Babuuh fanya mazoezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kilugha chetu hicho, maana yake tumbo kubwa lililopitiliza,Hilo eneo nililoBold ni kivumishi, Kielezi, Nomino, Kiwakilishi au Kitenzi?
Nipe Namba nikutumie hela ya [emoji1635][emoji482]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dyadya uko bongo hii kweli? Kumbe nawe ni mnyaki enh?Halafu kweli[emoji23][emoji23]. Chui chui day kwa wanyaki.View attachment 2044660