Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

ngerenge yene yayigoni mlongo, cha yikita kulyolyopa kwene,
Umenikumbusha mbali wee, ila home kwetu kuna pombe nyingi za asili,

Nimemiss ulanzi hapa, yaan nimeongea na bibi anantambishia ndo amegema leo yaan uko topu kwenye dumu. Natamani nipae hata.

Usinikumbusage Ifunda kibaoni mwe mwe mwe! Tulikuaga tunaenda lyandembela kula mikusu na wale waliojaliwa walikamata ulanzi
 
Baada ya mihangaiko ya kutwa ni mda wa kumshukuru Mungu na kujipumzisha
20211204_224036.jpg
 
Huyo mwanamke unaemtaja mbona sina habari nae wala mie hana habari na mie.. nyie kamatieni tu 😁😁😁.. Mkuu sijawai nenepa toka nimezaliwa mzee baba nakula kila aina ya mlo ila no mwili, fanye kila aina checkup kama kuna shida nipo safi, kazi zangu na mambo yangu nimezoezi toshaa 😊😊😊
Kwann leo unamkana mkuu..juzi nilikuambia mwanamke anachohitaji ni upendo wa dhati nawe ukanijibu unampenda sn,Kwa Hilo nisiwe na Shaka

Sasa Leo nn hiki Leo unaniambia 😁
 
Sema mkuu mie sina nyumbani, nalala popote mda wowote na saa yoyote 😁😁😁😁 ila kahawa ndio chakula changu mkuu.. tofauti na wazazi wangu kinachofatia kukipenda ni kahawa
Ila nipo serious,nimeona unapost picha nyingi ukiwa na kahawa,nikajua wewe ni mpenzi wa kahawa..

Ukihitaji nicheki nitakupatia
 
Back
Top Bottom