Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,402
- 12,010
Karibu kahawa
Kwema mkuu, heri ya sabato kwako. Naomba kila ukienda kusali uniombee mkuu
Nakusubiria hapa kituoni usije ukapotea😁😁Nakuja Mbagala![]()
Umefika huku bebee?
Ukuje hapa dogoSawa karibu kesho hasubui nikitoka kanisani napitia kununua.






PRAY
SLAY.Amen dada.#PrayerMountain#
#MaombiNiAkiba#
Tusisahau kusali wapendwa, especially wakati ambapo kuna amani na shwari kuu kwenye maisha yetu. Wakati wetu wa tabu na dhiki; hata nguvu za kufungua mdomo na kuomba wengi wetu huwa tunakosa. Akiba yetu ya maombi tuliyojiwekea, inatusaidia tunapokuwa dhaifu na kuishiwa nguvu. Methali 24:10 "Ukizimia siku ya taabu, nguvu zako ni chache"
WAKEPRAY
SLAY.
Saint Anne niendelee na slaying time ama nisiendelee?View attachment 2032935View attachment 2032936View attachment 2032937View attachment 2032938





Kwanini uache labda, life is too short darling so let's enjoy the moment.Lenie siku nikiacha kabisa kabisa unifanyie sherehe...View attachment 2032912



et za dk za maternityNawakumbudha.
Tumeuwa mtu dakika za maternity.
YNWA![]()








Huo wimbo unaitwaje na nani kaimba?? I like Gospel mno mnoooo!!Usiku mwema ma boss
View attachment 2032960
Huyu anaitwa Solom Lange - GraceHuo wimbo unaitwaje na nani kaimba?? I like Gospel songs mno mnoooo!!
Eeewaaa ndio za kuwapa watu kichapo.et za dk za maternity![]()
Neno lako moja tu...moja tu utawapokea hapo muda si mrefu. Bibi na mini Mkono watajumuika nao, si anaendelea vizuri?Fanya uniletee wanangu
ngoja niudowload hapaHuyu anaitwa Solom Lange - Grace
View attachment 2032991
View attachment 2032992
View attachment 2032993