Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,509
- 235,214
Baba lao timu kubwa LFCUnashabikia team gani ?
Baba lao timu kubwa LFCUnashabikia team gani ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sinunui adi nikuone usije nisusia kama juzi
Ukivaa nguo zinakukaa vizuri,pia haiba yako inakuwa nzuri[emoji28]Unavutia nini sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Naona leo mmebananishwaBaba lao timu kubwa LFC
[emoji1787][emoji1787] itaaribika kama ya last week afu roho iliniuma kweli uwa naumia sana kuona chakula kimearibika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nunua nakuja kesho.
Kesho uhakika[emoji1787][emoji1787] itaaribika kama ya last week afu roho iliniuma kweli uwa naumia sana kuona chakula kimearibika
Upo sawa kabisaaa, nakuunga mkono mkuuUkivaa nguo zinakukaa vizuri,pia haiba yako inakuwa nzuri[emoji28]
Mkuu hujawahi kusikia kwamba kitambi kinamwondolea mtu mwonekano mzuri,Hadi kuna baadhi ya nguo akivaa anachukiza?
Unanielewa point yangu bn,mwili wa mtu wa mazoezi unakuwa vizuri kuliko wa mtu asiyefanya,hiyo iko wazi kbs
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Tushaanza kuwalegeza hawa wajinga.Naona leo mmebananishwa
Sasa hivi vitakunenepesha mwili mkuu[emoji16]Mambo yangu haya, ni mwendo wa vitu vitamu vitamuView attachment 2032773
Sawa karibu kesho hasubui nikitoka kanisani napitia kununua.Kesho uhakika
Naona watu washaanza kulalamika leo wamechaniwa mkekaTushaanza kuwalegeza hawa wajinga.
Lazima tuwachape.
Alafu mkuu unapenda sn kahawa unaonyesha,siku moja nicheki ukipata nafasi nikupe kahawa orijino uwe unaandaa mwenyewe nyumbani ukitakaMambo yangu haya, ni mwendo wa vitu vitamu vitamuView attachment 2032773
Huyo mwanamke unaemtaja mbona sina habari nae wala mie hana habari na mie.. nyie kamatieni tu 😁😁😁.. Mkuu sijawai nenepa toka nimezaliwa mzee baba nakula kila aina ya mlo ila no mwili, fanye kila aina checkup kama kuna shida nipo safi, kazi zangu na mambo yangu nimezoezi toshaa 😊😊😊Sasa hivi vitakunenepesha mwili mkuu[emoji16]
Utashindwa kupiga mzigo vizuri ohoo,nishakuambia Depal wahuni tunammezea mate.Alafu km unavyojua watoto wa kike hata km mumewe Una hela km bahresa ukiwa na shoo mbovu anavunja zizi anakimbia [emoji28]
Ila nn mkuu,Punguza ulaji wa vitu vitamu
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Sema mkuu mie sina nyumbani, nalala popote mda wowote na saa yoyote 😁😁😁😁 ila kahawa ndio chakula changu mkuu.. tofauti na wazazi wangu kinachofatia kukipenda ni kahawaAlafu mkuu unapenda sn kahawa unaonyesha,siku moja nicheki ukipata nafasi nikupe kahawa orijino uwe unaandaa mwenyewe nyumbani ukitaka
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ex babe[emoji8][emoji3059][emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji8]Ex babe[emoji8][emoji3059][emoji8][emoji8][emoji8]
Nakwambia hawa tunawafungaNaona watu washaanza kulalamika leo wamechaniwa mkeka
Uko vyema.[emoji8]